Msaada jamani arsenal na napoli

Msaada jamani arsenal na napoli

kigoda

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,781
Reaction score
361
Kwa alie kwenye runinga atujuze matokeo tafadhali
 
Ars 2 Napoli 0 half time sasa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
game over kitambo arsenal kama kawa kama dawa kashinda 2-0[ozil na Giroud].kama ww ni arsenal endelea kunenepa kama ni wale wengne endelea kupungua.
 
Back
Top Bottom