Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
[h=5]Dear Arsenal
Kaeni mkijua kua
Unaweza kukaa miaka
nane bila kombe ila
Usithubutu kukaa miaka 8
bila mtoto kwenye familia
Unaweza kucheza pass nyingi
bila goli kwenye mechi moja
ila usithubutu Kukaa na
dem geto moja masaa 8
bila kumpiga goli
hata moja
Ozil ni mchezaji mzuri sana
ila usithubutu kusema ozil ni
mzuri mbele ya dem wako
Mna uvumilivu kwenye timu
yenu miaka 8 empty
ila hamna uvumilivu kwenye ndoa zenu
Hamuwezi kuisaliti Arsenal
ila mnawasaliti wake zenu[/h]
Kaeni mkijua kua
Unaweza kukaa miaka
nane bila kombe ila
Usithubutu kukaa miaka 8
bila mtoto kwenye familia
Unaweza kucheza pass nyingi
bila goli kwenye mechi moja
ila usithubutu Kukaa na
dem geto moja masaa 8
bila kumpiga goli
hata moja
Ozil ni mchezaji mzuri sana
ila usithubutu kusema ozil ni
mzuri mbele ya dem wako
Mna uvumilivu kwenye timu
yenu miaka 8 empty
ila hamna uvumilivu kwenye ndoa zenu
Hamuwezi kuisaliti Arsenal
ila mnawasaliti wake zenu[/h]