Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Muandaaji (Producer) wa kipindi cha CNN World Sport bwana Harry Reekie, anaandaa documentary kuhusiana na ubaguzi wa rangi kwenye soccer na hapa kuna makala yake kuhusiana na tatizo hilo. Pitia...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
baada ya kuishi mika 8 bila kikombe itabidi msaada utolewe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii nimekutana nayo kwenye blog ya Bin Zubeiry. Bila shaka ni taarifa njema kwa wapenzi wa Wekundu wa Msimbazi... Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA JUNI 11, 2013 SAA 9:30 ALASIRI HATIMAYE kiungo Amri...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
1) [Upon being asked what he does with his spare time] "I watch football." 2) "I tried to watch the Tottenham match on television in my hotel yesterday, but I fell asleep." 3) "When I first...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jionee mwenyewe kikosi cha timu ya Taifa kwa mjibu wa Tovuti ya TFF Taifa Stars
0 Reactions
3 Replies
5K Views
....inasemekana Amri Kiemba amesaini Yanga, tayari kwa kutumikia timu hiyo msimu ujao. inakuaje Simba wanaachia wachezaji muhimu wote kuondoka ndani ya kikosi!!!!, Amri Kiemba ni mchezaji mwenye...
1 Reactions
115 Replies
11K Views
Japan imekuwa nchi ya kwanza katika Kanda ya Asia na dunia kwa ujumla kufuzu kwa Mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yatakayofanyika mwakani nchini Brazil. Japan ilifuzu kufuatia sare yake ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kama kichwa cha habar kinavojieleza wadau naomben list ya waciezaji wa azam kutoka mbeya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yanga imeendaleza mambo ya kizamani ya kukomoana na simba kwa kumsajiri kiungo amri kiemba miaka 2. Inachokifanya yanga ni kuonyesha kwamba wana jeuri ya pesa kuliko kuzingatia maitaji ya timu...
1 Reactions
86 Replies
10K Views
Oliech yaani alifanya nini mnipe habari kamili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jun 2013 Rnk FIFA CAF Zon. Rnk Team Pts +/- Pos 13 1 Côte d'Ivoire 1022 -1 21 2 Ghana 887 1 23 3 Mali 869 3 31 4 Nigeria 785 -3...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
= "Brazil inawezekana" ‘ndiyo kauli mbiu ya Taifa stars leo' Stars lazima kieleweke leo inashuka kwenye uwanja wa Stade de Marrakech, kupambana na wenyeji wao, timu ya Taifa ya Morocco...
8 Reactions
589 Replies
44K Views
Kocha wa Stars, Kim Poulsen kushoto akipambana na askari wa Uwanja wa Marakech Dr Dau Getini Na Mahmlud Zubeiry, Marakech, IMEWEKWA JUNI 8, 2013 SAA 8:00 USIKUTIMU ya soka ya taifa ya...
5 Reactions
81 Replies
9K Views
GAME, SET AND MATCH - Williams 6-4 6-4 Sharapova Not a hint of nerves. A beautifully controlled, crouching topspin backhand gives Williams 40-15 and two Championship points. She closes out...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Kwa Babi naweza kusema mbio za sakafuni ......lakini kitendi cha Bahanunzi kupelekwa kwa mkopo Mtibwa Sugar, ni funzo kubwa kwa wachezaji wengi (of course kama wanajifunza) huyu jamaa alisota na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijawahi kuona uzi wa F1 hapa toka nijiunge na JF, ina maana hakuna mashabiki wa F1 ndani ya JF? Leo tuko Monaco, Monte Carlo, hii ni moja kama sio circuit ngumu zaidi kwenye F1 na kila F1 driver...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mungu wangu tutafika kweli kando hivi dc dodoma amchangia mtoto anayetakiwa kwanda india kwa matibabu tsh4000
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Katika mechi a mbayo imeisha sasa hivi Ivory cost imempiga Gambia 3-0 nakufisha point 10
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kesho ndo kesho
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom