Habari zenu wanaJamvi...... Poleni na majukumu.
Naanza kwa kuwapa pole WanaJangwani kwa Mkasa uliowapata kule Mbeya baada ya basi lao kuvunjwa vioo. Unaweza ukukakumbuka kilichowapata Togo kule Cabinda unapolifikiria suala la Yanga.
Binafsi naomba kutoa mtizamo wangu kwa timu pendwa ya Yanga kwamba wakati sasa umefika WABADILISHE RANGI YA JEZI ZAO, AMA SIVYO SIKU MOJA TUTASHUHUDIA UMWAGAJI DAMU. Nadiriki kusema hivyo kutokana na vuguvugu la kisiasa lililopo Tanzania kwa sasa. Hakuna asiyejua kwamba jezi za timu yetu ya Yanga zinafanana kabisa na sare za Chama tawala, na ikumbukwe kwamba si maeneo yote ya nchi yetu wanaongozwa na Chama tawala, hivyo basi maeneo yote yenye upinzani mkali kama TARIME, Mbeya, Arusha, Mtwara, Mwanza na kwingineko ambako wao wakiona rangi za chama Tawala wanaghafrika/ wanahisi hasira hapafai kabisa Yanga watumie jezi zao za sasa. Najua wengi mtabisha juu ya ukweli huu, lkn ukweli ndio huo imefikia hatua mashabiki wakiiiona Yanga wanaimba ....... (jina la chama) kama kuizomea.
Kama mbeya kwa Sugu wamevunja viooo... je, Kule kwa Lema Arusha Yanga imejipangaje itakapoenda kwa Oljoro? au tunasubiri damu zimwagike ndio tujue nini chanzo cha Yanga kushambuliwa? mim naamin wanaoshambulia Yanga sio mashabiki wa mpira bali ni mashabiki wa kisiasa ambao wanakereka na uswahiba wa kisiasa Wanapoona jezi za yanga zikifanana na rangi za chama fulani, kwahiyo TFF ijipange tu kupiga faini zisizo na kichwa endapo yanga itaenda maeneo niliyoyataja hapo juu.
NI MTAZAMO TUU wanajamvi!