Mbwana Samatta 'Poppa' au ukipenda muite Sama Goal kama anavyojulikana nchini DRC kuna uwezekano mkubwa wa kwenda ulaya mwakani.Akihojiwa na Bbc kocha wa Tp Mazembe bwana Patrice Carteron alisema kwamba anawasiwasi mkubwa wa kuwapoteza mastaa wake wengi baada ya kuisha kwa michuano ya confederetion cup ambao wengi wanatakiwa na club kubwa Ulaya.Na unapozungumzia mastaa wa club hyo huwezi kuacha kumtaja Samatta ambaye mpaka sasa anaongoza kwa ufungaji katika michuano hyo.Kwa upande wa pili Mkataba wa Samatta na Tp Mazembe unafikia tamati tar 30.06.2014, na kwa mujibu wa sheria za FIFA,mchezaji anaruhusiwa kufanya mazungumzo na club nyingine pale Mkataba wake unapofikia miezi sita kabla ya kumalizika. Kwa maana hyo bac kuna kila dalili sababu kwa Samatta kucheza Ulaya msimu ujao,kwnn aweze Mohamed Salah ashindwe Samatta?. Kila lakheri Mbwana Samatta 'Poppa'