Tulizo Yaani bila chenga jamaa kajidondosha kumzuga golikipa! Yaani karuka kabla miguu haijagongana (inamaana alijua nini kitafuata)! Kisha kainuka na kupiga. Si kawaida. Angekuwa mwingine angerudi aanza upya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.