Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
....Kampuni ya Binslum Tyres Co. Ltd....chini ya Mkurugenzi wake, Nassor Binslum.....imeingia mkataba wa miaka miwili wa shilingi 360 milioni na klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya....Katika mwaka wa kwanza, Mbeya City itapokea kiasi cha shilingi 180 milioni, na mwaka wa pili itapokea kiasi kama hicho....watavaa jezi yenye nembo ya RB ikiwa ni mabetri maarufu ya kampuni hiyo. Asanteni.