JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Ilikuwa miaka ya 80, enzi hizo vijana, nilifunga jiwe nikatengeneza kama mpira, juu nikashona vizuri ile mipira ya madaso, ndani nimeweka jiwe tena kubwa, nikamwambia nakurushia mpira huo, jamaa hakutaka mpira wa jiwe utue chini, alipiga kwa nguvu zote, Mungu wanguuuu, yalotokea yamebaki historia, huyu jamaa kwa sasa sijui yupo wapi maana ni miaka mingi, leo nikaona nitumia nafasi hii kumwaomba msamaha popote alipo kama atanisikia.