Qatar kunyang'anywa uwenyeji wa world cup 2022

DIUNATION

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,586
1,712
Kwa jinsi hali inavyoendelea na msukumo wa vyombo vya habari vya kimagharibi, Qatar inaweza kunyang'anywa hati ya kuandaa kombe la dunia 2022 na kupewa Marekani.

Sidhani kama ni fair ikiwa watapokonywa.
 
Kwa jinsi hali inavyoendelea na msukumo wa vyombo vya habari vya kimagaribi qatar anaweza kunyanganywa na kupewa Marekani. Sidhani kama ni fair.

kama walitumia rushwa kupata hio nafasi unafikiri na wao wako fair???
 
Kwa jinsi hali inavyoendelea na msukumo wa vyombo vya habari vya kimagaribi qatar anaweza kunyanganywa na kupewa Marekani. Sidhani kama ni fair.

Fifa haitaweza kukubali na hata ikishinikizwa ikakubali waarabu watacheza fitna fainali zikachezwe kwingine na siyo Uingereza au Ulaya
 
Kinachoisumbua fifa ni hali ya hewa tu ya Qatar...rushwa na fifa ni maji na samaki..ndo maana hawataki mahakama zihusike na fifa....unajua why FIFA iliweka head office swissland?sababu nchi ya uswiss haijifungi na sheria za kimataifa au za ndani kuhusu rushwa
 
Back
Top Bottom