Wachaga Wakaribia Kurudi

Wachaga Wakaribia Kurudi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza 10155545_1479238618975021_8798127732665098925_n.jpg
 
kuna mmoja hapo yuko bize kuangalia kama kuna hela chini
 
yule jamaa yangu bado yuko bize na hapa10364151_755676597800300_7511719228942453223_n.jpg
 
nina muona monyo hapo akiwa na merinyo! but ebu tuwakumbuke wachezaji mpira mahiri waliotoka kilimanjaro ;-1> John lyimo,waweza endeleza
 
samahani wadugu, hivi ligi za chini wanakuwa wachezaji 10 ? au huyo mwingine ndo anawapiga picha wenzake?
 
samahani wadugu, hivi ligi za chini wanakuwa wachezaji 10 ? au huyo mwingine ndo anawapiga picha wenzake?

ukipewa nyekundu hata picha huruhusiwi kupiga
 
hongera zao unapoongerea soka la kirilimanjaro unanikumbusha wapinzani wetu wa soka ushirika ya moshi je unawaza jua timu gani hapa tanganyika ilikua ikutana na ushrika soka linakua kama lile la barca na atretical?
 
nina muona monyo hapo akiwa na merinyo! but ebu tuwakumbuke wachezaji mpira mahiri waliotoka kilimanjaro ;-1> John lyimo,waweza endeleza

Danny Lyanga, mshambuliaji wa Coastal Union
 
hongera zao unapoongerea soka la kirilimanjaro unanikumbusha wapinzani wetu wa soka ushirika ya moshi je unawaza jua timu gani hapa tanganyika ilikua ikutana na ushrika soka linakua kama lile la barca na atretical?

Mechi ya Pamba Mwanza na Ushirika Moshi ilikuwa bonge la mechi hakika Pamba unakutana na kina Kitwana Suleiman, Hamza Mponda. Bea Simba, George Masatu, Hussein Masha, Khalfan Ngasa, Abdallah Boli, Madata Lugibisa uku upande wa ushirika unawakuta kina Willy Martin, Ephraim Mwakalukwa a.k.a Best Malidadi, Often Martin, Kaunda Mwakitope, David Rogers, Steven Nyenge ilikuwa balaa.
 
Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanzaView attachment 162396


Timu kuwa Kilimanjaro haina maana wachezaji wake lazima wawe kabla la wachaga; wachaga tuna mambo mengi tofauti na mpira hao vijana ni burudani kwa wachaga lakini si wachaga
 
Timu kuwa Kilimanjaro haina maana wachezaji wake lazima wawe kabla la wachaga; wachaga tuna mambo mengi tofauti na mpira hao vijana ni burudani kwa wachaga lakini si wachaga

haikambe, mkuu hapa title nyingine huwa ni kuvutia wasimaji ntu, usikonde sana
 
Back
Top Bottom