Dakika za Nyongeza Huongezwa na Nani?

Dakika za Nyongeza Huongezwa na Nani?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wakuu

Nachokoza tu hapa (rhetorically) maana naona huu mjadala ulianza kushika kasi tangu mechi ya fainali ya ATL na Real Madrid na jana imejitokeza katika mehi ya Starz na Zim zilipoongezwa dk 7

hivi hizi dk huongezwa na nani? ni fourth official (huku kitaa wanasema kamisaa) au match referee ?
 
Ni referee ndo anayehusika na kuongeza dakika za nyongeza. Kasome-sheria namba saba.
 
Ni refa na kamisaa hufanya kazi ya kuonesha tu..
 
Ni referee ndo anayehusika na kuongeza dakika za nyongeza. Kasome-sheria namba saba.

Ni refa wa kati, pembeni au wa mezani???.....wengine hatuna nakala za sheria.
 
Mkuu referee in mmoja tu yule wa kati, yule anayeshika na kupuliza kipenga, wa pembeni wanaitwa assistant referee no.1 na no.2, wa mezani anaitwa fourth official. Hawa wa siku hizi wanaokaa karibu na lango sijui wanaitwaje.
 
itakua fifth ...........japoliwa hawana mandate yyte ni observers tu
 
huku bongo naona ref akienda kuonesha kwa vidole lakn nahisi majuu 4th anaona kwemye computa? mbona sioni wakioneshana au ndio huzungumza kwa kutumia zile mic za masikioni?
 
refa wa kati ndio anaongeza muda wa ziada, kwa kitaalamu tunaita "stoppage time"
 
Kinachotokea refa akiona muda unakaribia kumalizika huwa anaangaliana na fourth official na kumpa ishara ya muda wa kuongeza kwa vidole,baada ya hapo refa namba nne au wa akiba muda ukikaribia kuisha huwa anaandika kwenye kibao na kuonyesha umati.
 
asante sana, ndivyo ninavyojua na mimi, lakn huku kitaa wanafikiria tofauti...huenda tuwe na mkakati wa kuelimisha jamii juu ya sheria za soka kupitia nyenzo mbalimbali, kutapaunguza baadhi ya fujo/mijadala isiyo na tija na kukuza uelewa wa wengi
 
Amavubi, Jamal Malinzi na wakuu wengine ningependa mnijuze nivigezo gani vinatumika hasa kwenye kuongeza muda. Mara nyingi kwa niönavyo mechi za ligi kuu ya England wanapenda sana kuongeza dakika nyingi, ukilinganisha na michuano ya Uefa Champions League,uzoefu wangu unanionesha hivyo..msaada wakuu mwenye kujua zaidi.
 
Wakuu

Nachokoza tu hapa (rhetorically) maana naona huu mjadala ulianza kushika kasi tangu mechi ya fainali ya ATL na Real Madrid na jana imejitokeza katika mehi ya Starz na Zim zilipoongezwa dk 7

hivi hizi dk huongezwa na nani? ni fourth official (huku kitaa wanasema kamisaa) au match referee ?

Law 7 of the FIFA Laws of the Game inasema kuwa "Allowance is made in either period for all time lost through:
• substitutions
• assessment of injury to players
• removal of injured players from the field of play for treatment
• wasting time
• any other cause

The allowance for time lost is at the discretion of the referee [emphasis added]"

http://www.fifa.com/mm/document/footballdevelopment/refereeing/81/42/36/log2013en_neutral.pdf
 
Mkuu EMT ahsante kwa ufafanuzi, kipengele cha Any other Cause kinampa refa nguvu sana.
 
huku bongo naona ref akienda kuonesha kwa vidole lakn nahisi majuu 4th anaona kwemye computa? mbona sioni wakioneshana au ndio huzungumza kwa kutumia zile mic za masikioni?

Mic hazikai masikioni
 
na umakini wa marefa tu hasa kwenye kusimamisha dakika inapotokea mpira kufa kwa tukio lisilo la kawaida uwanjani mfano mchezaji kuumia, mtu kuvamia uwanja, moshi kutanda nk, anaposimamisha itamsaidia ku determine additional time (sio extra)

nimeanza kwa kusema ni kwa umakini tu wa refa huku kwetu huwezi kuliona sana hilo, wengi ni kama wanakadiria tu na hasa btn dk 3 na 2 kinyume cha hali halisi ya matukio ya mpira ulivyosimama uwanjani, angalia yule refa wa mechi na zim....aliongeza dk 7 uhalisia unauona kabisa kwa wachezaji wetu kutumia mbinu za kizamani za kupoteza muda

hapa ni kwa uzoefu na uelewa wangu tu
Amavubi, Jamal Malinzi na wakuu wengine ningependa mnijuze nivigezo gani vinatumika hasa kwenye kuongeza muda. Mara nyingi kwa niönavyo mechi za ligi kuu ya England wanapenda sana kuongeza dakika nyingi, ukilinganisha na michuano ya Uefa Champions League,uzoefu wangu unanionesha hivyo..msaada wakuu mwenye kujua zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom