Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Najua mnajua kuwa kila mtu anamjua Douglas Costa de Souza ni nani? Kama humjui basi unashauriwa usimalizie kusoma huu uzi, ufungue YouTube ukiwa unatafuta video za huyu Kijana. Leo nimeamua...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Hii ilikuwa ni mechi kali ya Simba Taifa Kubwa VS Yanga SCC. Jionee mwenyewe gonga one-two-one-two za Wanaume kiasi cha kufanya mtangazaji na mchambuzi Kaijage ''kusikitishwa'' na mpira mkubwa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwisho wa Epl hii ya mwaka 2016/2017 ni kama ifuatavyo. 1. Liverpool 2. Chelsea 3. Man City 4. Man United 5. Arsenal 6. Tot Hotspurs Itunze vema hii coment yangu ili tukumbushane kwa evidence...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, ameibuka na kusema kiungo wao, Mzambia, Justine Zulu, bado hajawa fiti kucheza kwa kiwango chake na ndiyo maana mpaka sasa hajapewa nafasi kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Rage ameitaka klabu ya Simba kwenda mbele zaidi kudai haki yao na si kukubali kiasi cha shilingi milioni 50 kama fidia kama livyoamriwa na Kamati ya Katiba...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Timu ya Yanga imeanza kuidai tff milioni 420 Ilizozikata je tff wawape ama wawanyime
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hbr wana jmvi,kwa heshima kubwa naomba mnipe maujanja mbali mbali ya football ikiwemo sites mbali mbali za kupata habar za mpira au majna ya vtabu vilivyoelezea baadhi ya mambo ya mpira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KATIKA hali inayoashiria ni kuyumba kiuchumi, klabu ya Yanga imeandika barua Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikitaka ilipwe malimbikizo ya fedha...
2 Reactions
80 Replies
10K Views
Huyu mnyama kaanza kazi.. Daadex GGMU
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NINE people were reported dead and 21 missing after a boat “overloaded” with a football team and fans capsized just 100 metres from the shore in Uganda. Up to 30 non-swimmers in the party of 45...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumbo limuume Ruvu JKT,kuharisha aharishe Yanga SC.Maajabu hayaishi nchi hii
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Tanzania kuna mazingaombwe mengi sana katika tasnia ya mpira wa miguu, unaweza usiamini kwamba mchezaji anauzwa na kila document yake ikaenda kwenye timu mpya bila hata yeye kufika wala kuambiwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
December 25 2016 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Club ya SimbaHaji Manara alitumia ukurasa wake wa instagram kuandika ujumbe kwa Rais waTFF Jamal Malinzi kumuomba asamehewe afisa habari...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza mashabiki wa ndondi tumepigwa na butwaa baada ya Cheka kugoma kutokea ulingoni jana bkwa sababu zisizo na kichwa wala miguu Akiongea na mashabiki mdhamini wa pambano...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
UINGEREZA: Klabu ya Chelsea imetangaza kumuuza kiungo Oscar, kwenda klabu ya Shanghai SIPG ya nchini China kwa Pauni Milioni 60. Oscar Emboaba alijiunga na matajiri hao wa jijini London kwa ada...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Nimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi...
5 Reactions
70 Replies
10K Views
Salamu wana JF. What is your take on this quote from Mourinho" Jose Mourinho: Sir Alex Ferguson's legacy is not a burden
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Wachezaji wa Yanga kwa umoja wao wameamua kumkataa Mchezaji mwenzao na ambaye pia ni Nahodha wa Klabu hiyo Nadir Haroub ' Cannavaro ' kwa madai kuwa amezidi na kukithiri kwa Umbea na kuwagawa...
3 Reactions
41 Replies
15K Views
KATIKA hali inayoashiria ni kuyumba kiuchumi, klabu ya Yanga imeandika barua Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikitaka ilipwe malimbikizo ya fedha zake za haki ya matangazo ya...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Back
Top Bottom