Video: Goli la Mzamiru(SSC) kwa Ruvu linalolalamikiwa na Yanga

Golikipa analindwa na sheria akiwa kwenye sita. Eneo lake la goli tofauti na penalti area ndio mara nyingi marefa wanawapa advantage. Golikipa wa Ruvu alikwenda kucheza mpira nje ya eneo lake akaupangua na kuanguka. Mpira ukaendelea ikapigwa krosi na Muzamilu kufunga kwa kichwa. Aliamka baada ya refa kukubali goli na hakuonyesha dalili zozote za kuumia.
 
Tumekuelewa... May 2017 uje na uchambuzi kama huu
nitakuja na viboko hivi
1.Daniel Agyei
2. Janvier Bukungu
3. Mohamed Zimbwer Jr
4. Abdi Banda Jr
5. Method Mwanjale
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Jonas Mkude
9. Pastory Athanas
10. Shiza Kichuya
11. Mohamed Ibrahim
SUB
Peter Manyika jr
Said Ndemla
Hamad Juma
Jamal Mnyate
Laudit Mavugo
Novert Lufunga

Moses Kitandu
 
Watru walipotea humu sasa wamerudi kwa kasi kubwa.

Suburini kwanza hamjavuka mto, msianze kuwatukana mamba. Miaka mingapi mnaongoza ligi na kuishia nafasi ya tatu?

Wenye busara zao wametulia wakiangalia ligi inavyoendelea. Hata Chelsea bado hajawa bingwa kwenye EPL
 
Ubingwa kwenu sasa hivi sio priority. Fikirieni kulipa mishahara kwani hali imekuwa taabani mpaka mnarudia matapishi. Iko wapi ile pride ya kususa.Kwa hali hii inawezekana wachezaji wakagoma tena Januari mwishoni.
 
Yaani Demu Anagongwa Mwengine Lakini Mimba Anataka Abebe Yanga!!!! Huu ni Uchizi Wa Kupindukia aisee....

:D:D:D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom