Nimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.