demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,288
- 15,238
Najua mnajua kuwa kila mtu anamjua Douglas Costa de Souza ni nani? Kama humjui basi unashauriwa usimalizie kusoma huu uzi, ufungue YouTube ukiwa unatafuta video za huyu Kijana.
Leo nimeamua kumzungumzia Emmanuel Martin. Uwezo wa huyu kijana ulinipa shaka sana katika kuamini kama ni mchezaji wa kuhimidiwa.
Nikajipa zoezi la kumfuatilia huyu Kijana kwenye hizi mechi 2 alizocheza mpaka sasa. Si tu kwenye mechi, bali pia nilipata nafasi ya kupitia Mazoezi (Uhuru) nilipokuwa natoka kazini. Hakika Ubora wa huyu Kijana hauna tofauti na winga matata wa kibrazil anaye tafuta Ugali wake pale katika klabu ya Bavarians. (Bayern Munchen).
Douglas Costa (Pacha wake na Emmanuel Martin)
Uwezo wake wa
1.kupunguza adui katika mazingira magumu, 2.Kumiliki mpira mguuni pale akosapo nafasi ya kutoa pasi,
3.Kukokota Mpira kuelekea lango la Adui,
4.Uwezo wa kutoa pasi ndefu zenye macho.
Umenifanya bila shaka kuamini kuwa Huyu kijana Emmanuel Martin ni hazina ya Taifa. Ukizingatiza timu ya Taifa yaniTaifa Stars imekuwa ikikosa mshambulizi wa kushoto ambaye mwenye kuweza kuleta sekeseke langoni mwa mpinzani
"Emmanuel Martin katika picha dhidi ya NDANDA FC" jezi namba 18.