Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bondia Mtanzania Francis Cheka ambaye mwishoni mwa wiki alipoteza pambano lake nchini India alilopigana na raia wa nchi hiyo Vijender Singh, ameibuka na kusema kuwa mpinzani wake huyo hakumpiga...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Hii kitu nimeikuta youtube Mdau Rashid kihwelo kaamua kuitupia apate Majibu wacha na mimi niilete humu kiamuliwe Mimi nasema ni Goli na sio goli
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Klabu ya Guangzhou Evergrande Taobao na Beijing Guoan za China zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili Wayne Rooney na kumlipa £700,000 kwa wiki. ======== The England captain’s future at Old...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
KIKOSI VS JKT LEO, OMOG AMPANGA KOTEI AKATE UMEME WA WANAJESHI, MKUDE ASOGEZWA NAMBA NANE, PASTORY APEWA TISA 1. Daniel Agyei 2. Janvier Bukungu 3. Mohamed Zimbwer Jr 4. Abdi Banda Jr 5. Method...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Mnyama yupo hatarini kupokwa point kwenye mchezo wake na Ndanda baada ya kuwachezesha wachezaji wa kigeni wasio na vibali vya kufanya kazi nchini Wanaweza kuwa na ITC na kupewa leseni na TFF...
0 Reactions
83 Replies
10K Views
Leo golikipa amewekewa mgongo...... Mwamuzi kapeta. Watu wakafunga. Je hii ni mbeleko? au ni masuala ya M-Pesa? Hapana!! hii ni mbeleko. Sipati picha kama Agyei angechezewa vile kungetokea...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila kocha anayemsajili anafukuzwa 1- Paul Lambert Aston Villa 2- Brendan Rodgers Liverpool 3- Alan Pardew Crystal Palace 4- ???????
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Naona kama Mr lwanda akianza kupaki vitu kuelekea kuitafuta treni ya Tazara ni muda na wakati utaongea
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiwa kama mdau wa mpira sijapendezwa na kitendo kilichofanywa na wachezaji wa YANGA kwa kumgomea kocha Mazoezi kwa sababu za kutolipwa mshahara wao karibia siku 20. Kocha sio mwajiri wao...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau wa Michezo Leo Ni siku ya kuzaliwa Kwa nyota ya Tanzania, mtoto wa Mama Tanzania ambaye anakimbiza Wazungu.. Binafsi, namhusudu sana SamaGoal na Mungu azidi kumlinda na Kumuongoza uenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ratiba ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Africa imekamilika rasmi jioni hii. "HATUA YA AWALI/ Preliminary round" Mabingwa watetezi wa LigiKuu Tanzania bara wa wamepangiwa na Mabingwa wa...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
dela kenya!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vyaFIFA. Tanzania...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Draw iliyofanyika Misri Leo inaonyesha Kuwa AZAM FC wana Lambalamba ni moja kati ya timu 12 Zitakazoanzia Round ya Kwanza ya Michuano ya CAF Confedaration Cup 2017. Timu zingine 40 zitaanzia na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Klabu za mpira wa miguu Tanzania Simba, Yanga na Azam fc zapigwa marufuku kuwachezesha wachezaji wa kigeni kutokana na kutokukamilisha utaratibu wa uhamiaji na vibari vya wachezaji wa kigeni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Ni Round ya 3 baada ya...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Malezi na makuzi ya wazungu na yale ya Waafrika walio wengi ni tofauti kabisa. Hii inachangia kuwepo na tofauti pia hata kwenye uwezo wetu wa kukabiliana na changamoto zetu mbalimbali ukubwani...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Je mishahara ya wachezaji kuchelewa Yanga ni dalili za manji kuanza kujitoa au kuisusa timu?
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Klabu ya Chapecoense ya Brazil imekabidhiwa Kombe la Copa Sudamericana ikiwa ni siku 25 tangu ilipopata ajali ya ndege iliyoua watu 71. =========================== Brazilian club Chapecoense...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom