OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,697
Hii ilikuwa ni mechi kali ya Simba Taifa Kubwa VS Yanga SCC. Jionee mwenyewe gonga one-two-one-two za Wanaume kiasi cha kufanya mtangazaji na mchambuzi Kaijage ''kusikitishwa'' na mpira mkubwa uliopigwa na Simba........Serunkuma....Mkude.....Singano ''Mesi''.....Hakika Simba ni chuo.
Mpaka Martin Sanya anapuliza kipenga cha mwisho Simba 1-Yanga 0
Tukutaje jioni kwenye mpira wa Simba na Ruvu Shooting