Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,569
- 9,429
TANZANIA YAZIDI KUPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA
Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) limetoa orodha mpya ya ubora wa viwango vya soka Duniani kwa nchi Wanachama , na Vinara wake bado ni Argentina wakifuatia Brazil na kwa Afrika ni Misri ndio wapo juu kabisa huku Tanzania ikishuka Nafasi 2 na kukamata Namba 158.
Nchi ambayo iko juu kabisa kwa upande wa Afrika ni Misri, ambao sasa wapo Nafasi ya 23 baada kupanda Nafasi 12 huku Senegal walio Nafasi ya 31 na Mabingwa Wapya wa Afrika ambao ni Cameroon, wapo Nafasi ya 33 baada kupanda nafasi 29.
Kumi Bora Ulimwenguni
1.Argentina
2.Brazil
3.Germany
4.Chile
5.Belgium
6.France
7.Colombia
8.Portugal
9.Uruguay
10.Spain
Uganda bado wanaendelea kuongoza kwa Afrika Mashiriki wakiwa nafasi ya 17 kwa Afrika na 75 duniani wakifuatiwa na Kenya waliopo nafasi ya 20 Afrika na 87 duniani wakati Rwanda wako nafasi ya 27 Afrika na 100 duniani na Burundi nafasi ya 40 Afrika na 138 duniani
CHANZO:BBCSPORTS