Dondoo za michezo leo

Choga Cosmasy

Member
Feb 8, 2017
18
32
Na
Cosmasy Choga

WENGER:Mashabiki wawe kama wa timu nyingine.

Ikiwa ni siku chache kupita toka mashabiki wa Arsenal wabebe mabango yenye ujumbe wa kutaka kocha wa timu hiyo aachie wengine waifundishe Wenger mwenyewe leo amewajibu kwa kusema wanatakiwa wawe Kama mashabiki wa timu nyingine akitolea mfano Tottenham Hotspur.

Wakati kukiwa na tetesi za rais wa Real Madrid kumhitaji golikipa namba moja wa Manchester United katika kikosi hicho,David ameibuka na kusema yeye bado yupo Manchester United na bado anamkataba,Kwa upande wa kocha wa Real Madrid amesema bado anaimani na kipa wake.

Michezo Tanzania:
Baada ya jana kagera sugar kucheza mchezo wa kirafiki katika uwanja wa kaitaba kwa ajili ya kuchangia rambirambi na kumkumbuka hayati David Burhan sasa kikosi hicho kitasafiri kwenda mkoani iringa kucheza mchezo wa kirafiki na Lipuli FC.
 

Attachments

  • 1486665971189.jpg
    1486665971189.jpg
    44.7 KB · Views: 43
Back
Top Bottom