johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,690
Kamwene wadimi na wanyalu wote wa hapo mshindo na viunga vyote vya mkoa wa Iringa.Niwapongeze kwa kuweza kuirejesha timu ya lipuli kwenye ligi kuu ya vodacom.
Nampongeza mwanamichezo DC Kasesela halikadhalika mdau wa michezo wa siku nyingi mbunge Peter Msigwa. Naelewa miaka ile ya 1984 kulikuwa na ushindani mkubwa wa African wonderers na lipuli na kwakuwa mbunge ulikuwa na meza ya mitumba palei miyomboni sina shaka ulikuwa shabiki wa A/wonderes.
Lakini leo ukiwa mbunge umeweza kusimama imara kuhakikisha timu pinzani imepanda daraja.Kumbe upinzani siyo uadui basi nikuombe upeleke falsafa hiyo huko SIASANI kwa ajili ya mustakabali mwema wa maendeleo ya mkoa wa Iringa na taifa kwa ujumla.
Hongereni sana wanyalu, tuwohungise!