Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

 Wale wapenzi wa ligi kuu ya uingereza ratiba ya msimu mpya wa 2017/18 nani ataibuka mbabe. Tutambiane hapa nani ataingia big 4 nani atatoka? Premier League fixtures: full week-by-week list...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Simba imefanikiwa kumsajili kiungo Ally shomari kutoka mtibwa sugar kwa mkataba wa miaka miwili.Ally shomari ni miongoni mwa wachezaji mahiri mwenye uwezo wa kucheza zaidi ya namba nne...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Club ya Yanga imezidi kubomolewa na vvilabu vyenye nguvu ya fedha kwa sasa nchini Tanzania vilabu vya azam na simba SC Wachezaji ambao imesibitika kwa 100% kuwa wamemwaga wino ktk club ya simba...
2 Reactions
31 Replies
10K Views
TIMU ya Kagera Sugar ya Bukoba imesajili wachezaji sita wapya, akiwemo beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Juma Said Nyosso(pichani kushoto). Nyosso anasajiliwa Kagera Sugar...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndani ya Saa chache au siku mbili au tatu tu zijazo Mchezaji mahiri wa Kiungo wa Yanga FC Haruna Niyonzima anategemea Kusaini kandarasi ya kuichezea Klabu ya Simba SC kwa miaka miwili ( 2 ) kwa...
2 Reactions
56 Replies
10K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amekubali ombi la kuwa mgeni rasmi katika mchezo kirafiki kati ya Timu ya Everton ya nchini Uingereza na timu ya Gor Mahia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Abdallah Haji Shaibu kutoka Taifa Jang'ombe kasaini miaka miwili Yanga, ni beki wa kati. Beki kisiki wa timu ya Taifa ya Jang’ombe, Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’, amesaini mkataba wa miaka miwili...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama ilivyo kwenye heading apo...Yafuatayo ni magoli Kumi bora yaliyochaguliwa na UEFA Observers Committee(U.O.C) Kwa msimu Wa 2016/2017 Kisha hupigiwa Kura na Kuchaguliwa Moja bora kati ya...
1 Reactions
31 Replies
12K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahimu Akilimali, ametangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa klabu hiyo iliyoachwa wazi hivi karibuni na aliyekuwa mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
YANGA imeanza kufanya mambo kwa utulivu ambapo Jumamosi imefanikiwa kumbakisha beki wake wa kushoto Haji Mwinyi kisha ikamalizana na kiungo aliyetakiwa na kocha wao George Lwandamina na kuachana...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
14/06/2017 View all 380 Premier League fixtures for the new season Kick-off times below are 3 Pm for Saturdays and Bank Holidays and 7.45 Pm for evening matches unless stated otherwise. Please...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Ndugu zetu wa Yanga tunawataka muwe wazi ili tuone namna ya kuwasaidia. Ikumbukwe kwamba mwishoni mwa VPL ilitangazwa klabu kufilisika mara baada ya Mwenyekiti Manji kukutwa na maswahibu ya...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Deal Done Yule kiungo wa Mbao FC aliyepewa kishika uchumba na kupiga selfie na kiongozi wa Yanga ametimka na kusaini Simba SC kwa ajili ya kuimarisha kosi hilo la Msimbazi. Mido huyu ni Pius...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Lisemwalo lipo,ikiwa halipo laja,,,hatimae aliyekua akiifundisha timu ya taifa ya chile na Raia wa Argentina JORGE SAMPAOLI ajiunga rasmi kukinoa kikosi cha nchi yake pendwa ARGENTINA,FANTASTICO'S...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"Kutembea tutembee na Azam,mimba aipate Yanga"....Wakati Simba ikichanua katika usajili Yanga wamekuwa wakosoaji wakubwa wa usajili wa Mnyama unaondelea. Ajabu ni kwamba wao Mkemi ambaye ni...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Mshambualiaji wa Timu ya Nkana FC ya Nchini Zambia ambaye pia ni Miongoni mwa wachezaji wanaowindwa na Mabingwa wa Azam Federation Cup, Simba SC Walter Bwalya amejitokeza na kutoa ufafanuzi kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
7 records Cristiano Ronaldo broke during Real Madrid's Champions League final victory against Juventus Real Madrid's main man put a few new entries in the record books with yet another...
2 Reactions
74 Replies
14K Views
Premier League fixtures 2017/18 Premier League fixtures 2017/18
0 Reactions
3 Replies
704 Views
Goli alifunga Ronaldo...mechi ilikiwa ni REAL MADRID Vs AS ROMA.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hii sheria inasababisha dhuluma na magoli mengi ya utata. Ni bora iondolewe kabisa. Mpira ni kumi na moja kwa kumi na moja wote ndani ya uwanja. Hii sheria ndio inayosababisha mabeki kuleta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…