Usajili ligi kuu vodacom

ndemesi

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
380
121
Simba imefanikiwa kumsajili kiungo Ally shomari kutoka mtibwa sugar kwa mkataba wa miaka miwili.Ally shomari ni miongoni mwa wachezaji mahiri mwenye uwezo wa kucheza zaidi ya namba nne uwanjani.Hongereni simba
 
Sawa mkuu.... Naaskia Ajibu kasepa
 
Ajibu mmjo ni sawa na kina john bocco 7 na kina kichuya 4 iv mchezaj mwenye pure talent simba wanamuacha bila sababu za msingi wanamubakiza mavugo kweli hii ni akili au matope?
Ajib amefunga goli ngapi? Mavugo ngapi? Kichuya ngapi?
Argue kwa takwimu
 
Kiuchezaji Ajibu yupo vizuri japo alishaanza kushuka ndio mana ata omog aliliona hilo na kumuweka pembeni kwenye first eleven na mayanga nae kampiga chini ila lazima tukubali tu kua kwa kiasi flani tumepoteza
 
MAKINIKA inaingiaje embu jaribu kuficha ujinga wako hyo issue inaingiaje kwenye soccer
Nazidi kuamini kuwa wewe ni zero brain huelewi bado nini kilichonipelekea kukuambia kichwani mwako mmejaa MAKINIKIA na si ubongo. Nikusaidie tu nilikuambia vile baada ya wewe kumfananisha NEYMAR na AJIBU as kwa mtu timamu hawezi kuthubutu kulinganisha hawa watu.
 
Ajibu mmjo ni sawa na kina john bocco 7 na kina kichuya 4 iv mchezaj mwenye pure talent simba wanamuacha bila sababu za msingi wanamubakiza mavugo kweli hii ni akili au matope?
hajitambui, ni kweli ni bora lakini uliona jinsi alivyokua anaanzia bench Simba pamoja na kipaji chake wala hakutusaidia. labda kwenu watani atajitambua na kukaza hapo atatutisha sana.
 
mpka aongee Gwajima ndyo unakalili aisee
Pole too pathetic
Ajibu anavyocheza ni kma neymar
Usibishe bila fact
 
hajitambui, ni kweli ni bora lakini uliona jinsi alivyokua anaanzia bench Simba pamoja na kipaji chake wala hakutusaidia. labda kwenu watani atajitambua na kukaza hapo atatutisha sana.
Hajitambui kwa lip?
Amepigwa benchi faida gan mmeipata wakat yupo bench?
Njoo ujibu hayo maswali kwa hoja za msingi sio kukurupuka
 
Nimegundua hata wewe hujitambui, Ajibu kwa kipaji chake unaona sawa kuanzia benchi pale Simba na unafikiri alikua anapigwa bench kwa makusudi au kwa sababu alikua anaonyesha kiwango duni.
 
Omog afukuzwe tu, kwanza mbinu zake mbovu ndizo zilizoinyima SIMBA SC ubingwa wa msimu ulioisha kwa kuchezesha wazito wasiojua kulinda wala kutafuta magoli.. Ibrahim Migomba Ajib kuondoka nalo ni tatizo na upumbavu wa kiwango cha juu kinachosababishwa na uongozi.

Ajib ni moja ya wachezaji bora kuwahi kuitumikia SIMBA SC na msimu ujao tutamkumbuka sana.

SIMBA SC NGUVU MOJA.
 
Ajibu mmjo ni sawa na kina john bocco 7 na kina kichuya 4 iv mchezaj mwenye pure talent simba wanamuacha bila sababu za msingi wanamubakiza mavugo kweli hii ni akili au matope?
Kweli ukipenda kipofu unamuona chongo ajibu kafunga goli ngap? Kwa msimu
 
Back
Top Bottom