Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,133
Kama ilivyo kwenye heading apo...Yafuatayo ni magoli Kumi bora yaliyochaguliwa na UEFA Observers Committee(U.O.C) Kwa msimu Wa 2016/2017 Kisha hupigiwa Kura na Kuchaguliwa Moja bora kati ya hayo...Ni aibu sana Kwa Mchezaji Kama MESSI anayeitwa King na Mashabiki Wake kutokuwepo kwa Goli lake Katika List Hiyo...Huku Mashabiki Wake Wakidai Jamaa Hufunga Magoli Mazuri Sana Ya Kutafuta na Yanayovutia Pia, Tuelewe Vipi hapa...ina maana UEFA hawakuona GOLI ZURI ATA MOJA LA MESSI AMA???...INAWEZEKANA MASHABIKI WA MESSI HUWA WANA UPOFU MKUBWA SANA.