stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 164
TIMU ya Kagera Sugar ya Bukoba imesajili wachezaji sita wapya, akiwemo beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Juma Said Nyosso(pichani kushoto).
Nyosso anasajiliwa Kagera Sugar baada ya kumaliza adhabu yake ya kufungiwa miaka miwili kufuatia kumtomasa makalio mshambuliaji John Raphael Bocco akiwa Azam FC kabla ya kuhamia Simba wiki hii.