OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,019
- 114,374
"Kutembea tutembee na Azam,mimba aipate Yanga"....Wakati Simba ikichanua katika usajili Yanga wamekuwa wakosoaji wakubwa wa usajili wa Mnyama unaondelea.
Ajabu ni kwamba wao Mkemi ambaye ni kiongozi wa Yanga anaishia kupiga nao picha tu wachezaji wanaotamani kuwasajiri lakini wino unamwagwa timu nyingine isiyotegemewa!
Watani wamesemwa kusubiri kuokoteza baada ya wenye visu kuchukua chao mapema.
Kwa upande wa Simba mambo yanayoendelea kule ni hatari.Wanasoka wanaonya Simba ipunguze kasi tusije kujikita Taifa Stars yote inatokea Simba SC.
Huku Zimbwe kule Kapombe,mwisho Manula........ Msuva labda apite juu