Yanga yazidi kubomoka kwa kuondokewa na wachezaji wake

beal

Senior Member
Dec 30, 2012
114
60
Club ya Yanga imezidi kubomolewa na vvilabu vyenye nguvu ya fedha kwa sasa nchini Tanzania vilabu vya azam na simba SC

Wachezaji ambao imesibitika kwa 100% kuwa wamemwaga wino ktk club ya simba kutokea simba ni kiungo Haruna Niyonzima, mshambuliaji Donald Ngoma naye Dudu znasema kuwa ameshamalizana na simba SC.

Beki wa pembeni wa young Africa Juma Abdul naye amefanikiwa kunyakuliwa na Azam FC ya pale chamanzi, habari za ndani kabisa znaseme kuwa muda wowote Juma Abdul atatambuliashwa na matajiri wa Azam.

Kutoka na na kutolipwa kwa mishahara yake ya miezi minne simon msuva ameamua kuvunja mkataba na muda wowote inasemekana atavaa jezi nyekundu
Pia keeper msaidizi wa dida asubuhi tu ameshamalizana na singers Utd.

Tumejaribu kufanya mawasiliano na mkwasa amedai kuwa anayetaka kuondoka basi aende tu wao wanaweza iman kwenye soka la vijana.
 
Mimi ni Simba damu lakini sidhani kama Ngoma ana msaada kwetu. Ingekuwa Tambwe sawa. Pale tunahitaji mtu wa mwisho mwenye njaa Tambwe-like cz Okwi anakuja na pia kuna viungo wengi tatizo mchezea kamba tu. Inagwa Niyonzima tukimpata atatusaidia sana.
 
Club ya Yanga imezidi kubomolewa na vvilabu vyenye nguvu ya fedha kwa sasa nchini Tanzania vilabu vya azam na simba Sc
Wachezaji ambao imesibitika kwa 100% kuwa wamemwaga wino ktk club ya simba kutokea simba ni kiungo Haruna Niyonzima, mshambuliaji Donald Ngoma naye Dudu znasema kuwa ameshamalizana na simba Sc.
Beki wa pembeni wa young Africa Juma Abdul naye amefanikiwa kunyakuliwa na Azam fc ya pale chamanzi, habari za ndani kabisa znaseme kuwa muda wowote Juma Abdul atatambuliashwa na matajiri wa Azam.
Kutoka na na kutolipwa kwa mishahara yake ya miezi minne simon msuva ameamua kuvunja mkataba na muda wowote inasemekana atavaa jezi nyekundu
Pia keeper msaidizi wa dida asubuhi tu ameshamalizana na singers Utd.
Tumejaribu kufanya mawasiliano na mkwasa amedai kuwa anayetaka kuondoka basi aende tu wao wanaweza iman kwenye soka la vijana.
Acha kupotosha uma wewe niwaombe wahusika WA Jamii foram hii post muifute imejaa umbea tu

Kati ya wachezaji uliotaja hapo Juma abduli Ana mkataba na Yanga bado WA mwaka Mmoja

Haruna nae anaongeza mkataba na YANGA na mwenyewe kazibitisha kupitia vyombo mbalimbali vya habari

Ngoma pekee ndiyo bado yuko kwenye mazungumzo na uongozi na ikishindikana atapigwa chini

YANGA hakuna mfanya kazi anaedai hata Wiki moja mshahara hata Mmoja wewe umeyatoa wapi haya kama sio umbea na majungu tu mtoto wa kiume

Habari za fecbook unaleta huku!!
 
Nachoona ni povu tu, kwn mchezaji akiwa na mkataba hawezi sajiliwa timu nyingne? Au umekalili? Niyonzima hzo habari za kusema kuwa atabaki Yanga ni za kujirizisha tu ila kiukweli niyo anatua unyamani,
moody kabwe hebu jikubalini tu kuwa hali cyo mwake kwa sasa
 
Hao wamatopeni wamezoea uongo na umbea mkuu
 
Nachoona ni povu tu, kwn mchezaji akiwa na mkataba hawezi sajiliwa timu nyingne? Au umekalili? Niyonzima hzo habari za kusema kuwa atabaki Yanga ni za kujirizisha tu ila kiukweli niyo anatua unyamani,
moody kabwe hebu jikubalini tu kuwa hali cyo mwake kwa sasa
Toka lini simba walimsajili mchezaji mwenye mkataba YANGA??!

Toka lini YANGA walimsajili mchezaji mwenye mkataba Simba???

Haruna hawezi chezea simba hata mbingu igeuke!!!
 
Club ya Yanga imezidi kubomolewa na vvilabu vyenye nguvu ya fedha kwa sasa nchini Tanzania vilabu vya azam na simba Sc
Wachezaji ambao imesibitika kwa 100% kuwa wamemwaga wino ktk club ya simba kutokea simba ni kiungo
imesibitika duu sawa
 
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo, Yanga, wameanza kufanya balaa kwa fujo baada ya kukubaliana na kiungo mwenye uwezo wa kukaba na kushambulia ‘box to box midfilder’ wa Kagera Sugar, Babu Ally Seif na leo anaweza kumwaga wino.

Ally ambaye aliisaidia Kagera kumaliza msimu uliopita nafasi ya tatu, anapewa nafasi kubwa kutibu tatizo la kiungo mkabaji la timu hiyo ambayo ilishindwa kuzibwa na Juma Said Makapu na Justin Zulu ‘Mkata Umeme’ tangu waondoke wachezaji, Frank Domayo na Athuman Idd ‘Chuji’.
Akizungumza na bingwa jana, Ally alisema mazungumzo baina yake na Yanga yamekwenda vizuri na kesho (leo) anaweza kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo.

“Mambo yanakwenda vizuri na kesho (leo) nakutana tena na viongozi wa Yanga kwa ajili kufanya mazungumzo, ambayo bila shaka yataambatana na kumwaga wino,” alisema Ally.

Kiungo huyo tayari ameshakubaliana kila kitu na viongozi wa Yanga likiwemo suala la masilahi na dau lake la usajili na kusema: “Kuhusu masilahi tumekwishamalizana, hivyo hilo sina wasiwasi nalo, sasa akili zangu ziko kwenye kuvaa uzi huo wa Yanga na kupiga kazi.”

Ukiachana na kiungo huyo, pia Yanga iko mbioni kumnasa mshambuliaji wa Mbao FC, Habib Haji ambaye ana uwezo wa kucheza nafasi hiyo ya ushambuliaji pamoja na winga beki.

Lakini Yanga watakuwa na kazi nzito ya kukamilisha usajili wa nyota huyo kutokana na masharti aliyowapa pamoja na dau lake ili atie saini ya kuichezea klabu hiyo ya Jangwani.

Akizungumza na bingwa jana, Habib alisema bado yupo katika mazungumzo na mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania ili aweze kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo.

“Ni kweli nipo katika mazungumzo na Yanga na nimewapa masharti yangu. Kwanza wanipatie sehemu ya kuishi na dau la Sh milioni 30,” alisema Haji.

Haji ambaye yuko kwenye mazungumzo na Yanga, pia anafukuziwa na klabu za Azam FC na Simba na zote zinataka saini yake.

Akizungumzia kufukuziwa na klabu hizo, Haji alisema: “Klabu yoyote inayonitaka tukikubaliana na kunipa fedha ninayotaka mimi nitasaini.”
 
Ukitaka kujua hujui unacho kisema ni kuwa,hao wachezaji watatokaje Simba kwenda Simba? Jipange kabla hujatoa mada ya uongo ili uwapate majuha kama wewe.
 
Tatizo lenu Thimba mnaongea saaana, lakini mwisho wa ligi Yanga bingwa.... Yanga imetulia kimyaaa, mnailazimisha iongeeongee.... Subiri mwisho wa msimu wa usajili tufanye tathmini... Hamna sababu ya kelele.... Yanga inao vijana wa kuwapandisha... Na bado ina nafasi saba za usajili wa nje.... Kwahiyo nyie mbwelambwela tu, tukutane msimu ukianza
 
Kwa hela IPI bwana makinikia???

Gongowazi mwaka huu mtaolewa!
 
Back
Top Bottom