Beki kisiki wa Taifa Jang'ombe asaini Yanga.

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,985
Abdallah Haji Shaibu kutoka Taifa Jang'ombe kasaini miaka miwili Yanga, ni beki wa kati.

Beki kisiki wa timu ya Taifa ya Jang’ombe, Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2016/17, timu ya Yanga.

Ninja amesaini mkataba huo leo mchana kwenye makao makuu ya klabu hiyo iliyopo Jangwani jijini Dar es Salaam, mbele ya katibu, Charles Mkwasa na meneja wa timu, Hafidh Saleh.
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_Beki.jpg
 
Ndondo cup inaanza kesho kutwa nendeni mkanunue wachezaji WA Buku jero wapo wengi tuu
 
Back
Top Bottom