Yanga waanza na Buswita wa Mba FC,pia wamalizana na Haji Mwinyi.

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,392
2,000
YANGA imeanza kufanya mambo kwa utulivu ambapo Jumamosi imefanikiwa kumbakisha beki wake wa kushoto Haji Mwinyi kisha ikamalizana na kiungo aliyetakiwa na kocha wao George Lwandamina na kuachana na Salmin Hoza.

Aliyefanya kazi hiyo ya kumsainisha Mwinyi aliyekuwa akiviziwa na Azam ni mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Hussein Nyika akisaidiana na Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ambapo beki huyo amesaini mkataba mpya wa miaka miwili.

Mwinyi aliyesafirishwa jana kutoka kwao Zanzibar na kufika jana mchana ambapo haraka jana hiyohiyo akakubali kubaki Yanga ambapo sasa anatafutiwa beki mwingine atakayechuana nae.

Wakati Yanga ikianza hivyo, tayari klabu hiyo imefanikiwa kumsajili kiungo wa Mbao, Pius Buswita na kufanikiwa kuwapigisha chenga Azam waliomnyakuwa Salmin Hoza ambaye alikuwa akitakiwa kusajiliwa Yanga kwa ziada tu.
Katika ripoti ya kocha Lwandamina kiungo muhimu aliyekuwa akimtaka kutoka Mbao ni Buswita lakini Yanga ikawapigisha chenga Simba na Azam kwa kutangulia kufanya mazungumzo na Hoza ambaye walimkimbilia kisha kumwacha Buswita ambaye sasa ni mali ya Yanga.

“Tumemalizana na Mwinyi, tulimwita haraka na Jumamosi tukamalizana nae, amesaini mkataba mnono wa miaka miwili kwa hiyo hatuna mashaka nae tena,” alisema bosi huyo.

Ukiacha Mwinyi pia tumemsajili kiungo fundi wa Mbao, Pius Buswita ambae ndie kiungo mwafaka tuliyekuwa tukimtaka lakini tulijua kwamba hizi timu nyingine zinasubiri kusikia nini Yanga wanataka kufanya ili wao wakimbilie sasa tulipomtaja Hoza wao wakakimbilia kumsajili lakini tukafanikiwa kumpata Buswite tuliekuwa na mipango nae.”
 
nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
3,847
2,000
Daaaaaaa makinikia FC dhooooooofu bin taaban!

Makinikia FC watashuka daraja hawa mwaka huu!
 
Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
195

Huyo Pius Buswita ni kiungo?

Buswita ni mshambuliaji, viungo wa mbao walikua Salmin Hozza na Innocent Njohole..

Sasa Lwandamina kama alitala kiungo, mbona mnasajili mshambuliaji?
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
360
500
YANGA imeanza kufanya mambo kwa utulivu ambapo Jumamosi imefanikiwa kumbakisha beki wake wa kushoto Haji Mwinyi kisha ikamalizana na kiungo aliyetakiwa na kocha wao George Lwandamina na kuachana na Salmin Hoza.

Aliyefanya kazi hiyo ya kumsainisha Mwinyi aliyekuwa akiviziwa na Azam ni mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Hussein Nyika akisaidiana na Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ambapo beki huyo amesaini mkataba mpya wa miaka miwili.

Mwinyi aliyesafirishwa jana kutoka kwao Zanzibar na kufika jana mchana ambapo haraka jana hiyohiyo akakubali kubaki Yanga ambapo sasa anatafutiwa beki mwingine atakayechuana nae.

Wakati Yanga ikianza hivyo, tayari klabu hiyo imefanikiwa kumsajili kiungo wa Mbao, Pius Buswita na kufanikiwa kuwapigisha chenga Azam waliomnyakuwa Salmin Hoza ambaye alikuwa akitakiwa kusajiliwa Yanga kwa ziada tu.
Katika ripoti ya kocha Lwandamina kiungo muhimu aliyekuwa akimtaka kutoka Mbao ni Buswita lakini Yanga ikawapigisha chenga Simba na Azam kwa kutangulia kufanya mazungumzo na Hoza ambaye walimkimbilia kisha kumwacha Buswita ambaye sasa ni mali ya Yanga.

“Tumemalizana na Mwinyi, tulimwita haraka na Jumamosi tukamalizana nae, amesaini mkataba mnono wa miaka miwili kwa hiyo hatuna mashaka nae tena,” alisema bosi huyo.

Ukiacha Mwinyi pia tumemsajili kiungo fundi wa Mbao, Pius Buswita ambae ndie kiungo mwafaka tuliyekuwa tukimtaka lakini tulijua kwamba hizi timu nyingine zinasubiri kusikia nini Yanga wanataka kufanya ili wao wakimbilie sasa tulipomtaja Hoza wao wakakimbilia kumsajili lakini tukafanikiwa kumpata Buswite tuliekuwa na mipango nae.”
mkuu vp mipango na buswita imeisha au
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,638

naona kibao kimegeuka. zamani Yanga ndiyo walikuwa wanavizia kuwapindua Simba kwenye usajili. siku hizi ni vice versa.
halafu mijitu "michawi" kama Akilimali inajifanya haimtaki Manji wakati hata hakuna mpango wowote mbadala!
 
fama

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
742

Yanga bana Kwishney!!
 
ndemesi

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
371
225
Buswita kasaini simba karudisha kishika uchumba hiyo ndo taarifa rasmi kabisa pasi na shaka.Nyie usajili wenu mmeanzia zenji uko kwa jang'ombe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom