Goli hili ndilo lilichaguliwa "Best goal in uefa champions league season 2015/2016

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,285
2,000
Mkiamua kusifia huyo shoga wenu mnakosaga hata aibu. Hebu angalia goli la akili mkuu

Mkuu unaweza kuchekwa ukisema hili goli ni la akili; ni kinyume cha hivyo kwa sababu:
1. Kwa mujibu wa hii clip, Ozil alitengenezewa pasi ya goli, iliyomwacha peke yake akiwa na kipa tu. Kwa hivyo wa kusifiwa hapo ni aliyelitenga pande/bale hilo kuliko aliyelitendea haki.
2. Alihatarisha nafasi ya wazi ya kumalizia mpira kwa kuchelewa hadi akakutwa na mabeki kutoka nyuma, ilhali baada ya kumpiga chenga kipa alibaki na goli likiwa wazi.
3. Alichelewesha kulifunga hilo bao lenyewe, hivyo kuinyima timu yake muda wa kuanza kutafuta bao jengine.
 
PNC

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
7,825

na wewe una ndoto za kuwa mchambuzi maajabu hayaishi UKWELI USIOFICHIKA GOLI BORA LA UEFA NI HILO LA OZIL yanayofatia ni magoli yoooote ya Messi kisha ya wachezaji wa Barca.
 
mwangalingimungu

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,285
2,000
na wewe una ndoto za kuwa mchambuzi maajabu hayaishi UKWELI USIOFICHIKA GOLI BORA LA UEFA NI HILO LA OZIL yanayofatia ni magoli yoooote ya Messi kisha ya wachezaji wa Barca.
Naheshimu mawazo yako,ila nabaki na imani yangu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,124
2,000
Mkuu unaweza kuchekwa ukisema hili goli ni la akili; ni kinyume cha hivyo kwa sababu:
1. Kwa mujibu wa hii clip, Ozil alitengenezewa pasi ya goli, iliyomwacha peke yake akiwa na kipa tu. Kwa hivyo wa kusifiwa hapo ni aliyelitenga pande/bale hilo kuliko aliyelitendea haki.
2. Alihatarisha nafasi ya wazi ya kumalizia mpira kwa kuchelewa hadi akakutwa na mabeki kutoka nyuma, ilhali baada ya kumpiga chenga kipa alibaki na goli likiwa wazi.
3. Alichelewesha kulifunga hilo bao lenyewe, hivyo kuinyima timu yake muda wa kuanza kutafuta bao jengine.
Atakayenicheka atakuwa na akili kama zako.
1. Unasema aliachwa peke yake, mara tena na kipa.
2. Football is daring, na ndio maana tunaojua mpira tulifurahi kuona kanzu, chenga, dribbling na hatimaye goli.
3. Alichelewa kulifung....yaani una sababu za kuungaunga kama mchawi.

Naamini moyoni mwako unajua kuwa lile goli ni kali. Linaonesha umahiri wa mchezaji na hakika ni moja ya magoli mazuri.

By the way, huyo aliyeweka hapa huo uozo wa Mrs Morocco naye ni muongo. Hilo goli la Christina Renata wala halipo kwenye top ten.
 
Inawezekana tunatofautiana kwenye mambo matatu: 1. Kiswahili:Inaelekea tunapishana tafsiri kwenye maneno 'peke yake'. Tafsiri yako ni kuwa ikishafikiwa hali ya mtu kuwa 'peke yake' basi haiwezi kumaanisha mtu mwengine hata kama ufafanuzi wa ziada utaongezwa kama nilivyofanya nilipoandika 'Ozil amaechwa peke yake akiwa na kipa tu'. 2. Tafakuri binafsi: Inaelekea huna uwezo wa kuhoji, kupima, kutathmini na hatimaye kutoa msimamo wako binafsi mbele ya maoni ya wengine, hasa kama ni Wazungu. Madhali hilo goli limesemwa kuwa ni bora na watu unaowadhania ndio kila kitu basi ndiyo hivyohivyo kwako. Una uhuru huo. Wengine hatuko hivyo, licha ya kuthamini uhuru huo 3. Kipaji cha Kukejeli: Inaelekea kwa sababu tu ya kuhoji ubora wa goli la Ozil, umeamini kwamba mimi sikubali uwezo wa Ozil kama wewe usivyoukubali wa Christiano Ronaldo. Inaelekea umezidiwa mno na husuda kwa Christiano Romaldo kiasi cha kushindwa angalau kutaja jina lake sahihi, hata usipovutiwa na kipaji chake. Sivyo hivyo, nakusihi usiwe hivyo.
 
momentoftruth

JF-Expert Member
Jul 5, 2014
1,383
2,000
Mkuu unaweza kuchekwa ukisema hili goli ni la akili; ni kinyume cha hivyo kwa sababu:
1. Kwa mujibu wa hii clip, Ozil alitengenezewa pasi ya goli, iliyomwacha peke yake akiwa na kipa tu. Kwa hivyo wa kusifiwa hapo ni aliyelitenga pande/bale hilo kuliko aliyelitendea haki.
2. Alihatarisha nafasi ya wazi ya kumalizia mpira kwa kuchelewa hadi akakutwa na mabeki kutoka nyuma, ilhali baada ya kumpiga chenga kipa alibaki na goli likiwa wazi.
3. Alichelewesha kulifunga hilo bao lenyewe, hivyo kuinyima timu yake muda wa kuanza kutafuta bao jengine.
Mkuu tafadhali hebu rudia tena kusoma ulichokiandika labda utatuomba radhi, maana kwa mawazo hayo sidhani kama unaufahamu mpira vizuri.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
49,899
2,000
*TEACHER*: _nielezee biashara ambayo imefeli kutokana na uzembe
*STUDENT*: Changudoa akipata mimba…
*TEACHER*: _get Out!!!!!!!!!!!!!!_
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
11,784
2,000
top five ronaldinho victims..... dangerous skills nenda youtube fasta
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom