Aliyepewa kishika uchumba na Yanga(Pius Baswita) asaini Simba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,045
114,509
Deal Done
Yule kiungo wa Mbao FC aliyepewa kishika uchumba na kupiga selfie na kiongozi wa Yanga ametimka na kusaini Simba SC kwa ajili ya kuimarisha kosi hilo la Msimbazi. Mido huyu ni Pius Baswita kutoka Mbao FC

Hizi ni habari mbaya sana kwa Yanga aka Dume Suruali
1235019846532400
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom