Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,222
Lisemwalo lipo,ikiwa halipo laja,,,hatimae aliyekua akiifundisha timu ya taifa ya chile na Raia wa Argentina JORGE SAMPAOLI ajiunga rasmi kukinoa kikosi cha nchi yake pendwa ARGENTINA,FANTASTICO'S
Jorge Sampaoli anapata matokea dhidi ya brazil na Singapore katika mchezo wa pili tangu awe kocha wa ARGENTINA
Heshima kwenu ndugu wadau bila kujari mupo timu zipi,,tumefanikisha kumpata JORGE SAMPAOLI raia wa Argentina na aliekua akiifundisha timu ya CHILE. Ni furaha kubwa mno kwetu.
Sampaoli alistop kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 19 baada ya kuumizwa.
Kocha uyu yuko makini na kazi yake. Kwaiyo tunataraji makubwa zaid Kutoka kwake ,,, fuatiria huu msemo kutoka kwake "hivyo ninatakiwa kupambana kuhakikisha ninafanya yale ambayo yapo kwenye mipango ya timu" mipango hiyo imetimia vilivyo. mwenendo wake umetupatia matumaini makubwa mno cc washabiki wake na timu pendwa duniani..ARGENTINA,,,,still ataendelea kuiweka sawa.
Sampaoli atahakikisha tim inaludi kwenye nafasi yake namba moja . Kwa wale walioshuudia mtanange wa ivi karibuni iliopigwa MELBOURNE AUSTRALIA nadhan mumejionea vijana wake wakitandaza soka swafi mno na kulipiza kisasi kwa mahasimu wao brazil ,,, jana vile vile wamecheza katika kiwango bora kabissa na kuibuka na ushindi mnono wa goli 6-0.
Mungu ibaliki timu ya taifa ya ARGENTINA,FANTASTICO'S. bila kuisahau timu ye2 pendwa TAIFA STARS .
Sampaoli na Argentina
ARGENTINA 1-0 BRAZIL
ARGENTINA 6-0 SINGAPORE
Karibuni wadau.