Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tufike wakati tutofautishe soka na uongozi Unaweza kusa mchezaji mzuri tu sana ukifika kuongoza watu nshidaaaaaaaa Ndugu zanguwote mnaoshiriki uchaguzi kwanza naaapongeza kaa uthubutu pili...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari za weekend wandugu! Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga. Viongozi wa simba wamewaaminisha...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Hongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo tungekuwa tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo. Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waamuzi wana mchango mkubwa katika kuinua kiwango cha mpira nchini. Waamuzi pia ni wanachama na mashabiki wa timu fulani nchini tangu utotoni, hivyo ni rahisi kuisaidia timu yake inapokuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Magoli yote mawili yamefungwa na Yahaya ramadhani * kipindi cha kwanza dakika ya 23 * dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha Tanzania 2 Malawi 0 Update Dakika ya 82 bado tunaongoza 2-0 * dakika...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Bonyeza link kumpigia kura mgombea unayetaka ashinde urais wa TFF Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii picha imenifurahisha kusema kweli ,. Haruna moshi Boban jina la Boban ni nickname kutoka kwa kiungo wa Croatia Boban.Haruna alipata nafasi kwenda Sweden kucheza kama sijakosea na...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais TFF 2017 - Poll on StrawPoll.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
fifa imeanzisha rasmi matumizi ya video assistant referees kwenye michuano ya mabara utaratibu huu umezua maoni tofauti kwa wadau cha ajabu timu inaweza funga goli na kushangia alafu linakataliwa...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakuu napenda kufahamu katika hawa wagombea wa Urais wa TFF kuna ambaye amewahi kucheza, kufundisha mpira au hata kuwa na utaalamu wa Ualimu wa Mpira? Mwenye kuwafahamu vizuri naomba anipe sifa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama hujajuaa hilii nakumegeaaa tripuu hii ujinga atutakii tunaweka viongozi wa ukweli bila kujali usimba na uyangaaaaaaaaa Namkaribisha kwa mara nyingine tena na tena kwangu namwita JEMEDARI AMA...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Sasa ni uhakika kwamba Emmanuel Okwi anakuja nchini kumalizana na Simba kwa ajili ya kuanza kuichezea msimu ujao. Okwi anatarajia kutua nchini kesho Jumamosi na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Fanyeni yote, shangilieni yote! Ila wengi mtazimia baada ya mahesabu ya kura za rais TFF. Jamaa amejipanga si utani...Achilia mbani na mielekeo ya kampeni zitakazo fanyika.
0 Reactions
3 Replies
709 Views
Naona saa tatu sasa vipi Kipenzi cha Wekundu Okwi keshafika? Maana taarifa alikua aje leo wale mpo airport kumpokea vipi bado hajawasili?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa Soka hasa wa timu zetu hizi mbili Yanga&Simba wanajua kinachoendelea kipindi hiki cha usajili Mchezaji Raia wa Rwanda Haruna Niyonzima aka Fabregas wa Bongo baada ya kukipiga...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
MKURUGENZI wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Salum Madadi, amesema kwa mwenendo wa usajili wa Simba ulivyo, hakuna shaka timu hiyo ndiyo itakayochukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Hakuna asiyeufahamu umahiri wa Rashid Matumla katika ndondi , huyu ni kati ya mabondia wachache sana walioliletea Taifa hili heshima kubwa sana . Lakini kama ilivyo ada , katika kila jema kuna...
7 Reactions
69 Replies
11K Views
Hapa wanachama wanapaswa kuhoji.... Kwanini Simba wanahitaji kikosi kizima cha Yanga... 1. NIYONZIMA 2. NGOMA 3. MSUVA 4.CHIRWA 5.JUMA ABUL Hao wote walishatajwa na Simba kwamba wanahitaji kwa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…