Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Everybody say yeeeeeeehhhh breaking news la motomoto lina one hour tu, simba sc team ya 16 kwa ubora Africa ipo ndani ya game la PES 2020 Africa zipo teams za maana 51 tu, vigogo vya Africa only...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wale wadau wa michezo hasa tennis. Kama mjuavyo hivi karibuni, jumamosi kulikuwa na fainali ya grand slam ya Marekani, US OPEN. Bingwa aliibuka ni bidada toka Japan kwa jina la Naomi...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Hello Hello..... Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League kuendelea kuvurumishwa leo December 31, 2019 kunako Uwanja wa Taifa, ambapo Mabingwa wa Nchi Simba SC Mnyama Mkali Mwituni...
7 Reactions
80 Replies
10K Views
Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwaka Huu arsenal asiposhuka daraja wamshukuru Mungu naona kabisa kwa style playing yao nirahisi Sana kufungwa na Man u labda tu wabadilishe aina yao ya uchezaji ukiachana na Hilo beki yao ni...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
====== KLABU ya Simba rasmi imeachana na Mshambuliaji raia wa Brazil Wilker Da Silva kwa kutoridhishwa na kiwango chake. Hayo yamebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, katika...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mourinho ameishiwa mbinu anaangalizia hadi mbinu za makocha wenzie. [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu ni kiungo mkabaji wa klabu cha kandanda cha simba .Alivyokuja kwenye ardhi ya tanzania alionekana sio chochote lakini kwa miezi 5 aliecheza baadhi ya wanamsimbazi wamemsahau kiungo wao...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Optajoe jamaa wa takwimu wameshaachia takwimu zao kwa miaka 10 (2010-2019) guesswhat Lionell Messi kafunga zaidi, katoa assist zaidi, katake-on zaidi na katoa accurate end passes zaidi lakini...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kusoma hili andiko mwanasport nikaona huyu Mchezaji ni mwehu na kuna wengi tu wa aina yake mfano Ajibu. Nimekopi kama ilivyo kwenye gazeti la Mwanasport MWAKA 2012 wakati wa Cecafa kule...
42 Reactions
138 Replies
14K Views
Habari wanaJamvi la Michezo Mchezaji soka wa kulipwa wa Kitanzania, Mrisho Ngassa ameamua kuvunja mkataba na timu aliyokuwa akiitumikia ya Free State na sasa amekuwa mchezaji guru kujiunga na...
1 Reactions
55 Replies
11K Views
-Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuph Manji ametangaza kurejea kazini na bado yeye ni Mwenyekiti wa klabu ya Yanga. Kupitia barua yake iliyosomwa mbele ya wanachama katika makao makuu ya klabu...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Naomba nichukue nafasi hii kuwatakia heri na baraka washabiki wote wa Man United. Wajaliwe kuendelea kupata matokeo kama waliyoyapata msimu uliopita na huu unao endelea, kwa miaka mingi ijayo.
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa Liverpool fans wote nawatakieni heri ya mwaka mpya 2020! Pasi na shaka Liverpool bingwa wa EPL 2019/2020 ! Kama kuna timu ina ndoto ya hilo kombe basi iendelee kuota. Sent using Jamii Forums...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Yanga na Biashara wamecheza Uwanja wa Taifa kwenye pitch iliyo bora kabisa. Cha ajabu Yanga wameshindwa kabisa kucheza mpira unaoeleweka. Wanabutua butua tu. Najiuliza hivi afisa uhamasishaji...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Timu ya Liverpool pamoja na kuonekana kwamba imewapiga gap kubwa timu nyingine za EPL lakini ushindi wake katika baadhi umekuwa na utata mkubwa. Siyo upendeleo tu toka kwa marefa bali hata VAR...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Hali si nzuri najua wengi hawatanielewa Yanga ina hali ngumu nakwambia wachezaji wengi awachezi kwa moyo awajalipwa hela zao Mbaya zaidi majuzi GSM wameomba kulipa malimbikizo ya wachezaji...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Paul Pogba's agent Mino Raiola has had a three-month worldwide ban from football activity lifted by Fifa. It comes two days after the ban was suspended by the Court of Arbitration for Sport (Cas)...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nmeangalia hii picha nmecheka sana! Ndio maana unakuta uwanjani mtu anapepesuka kama jani la mgomba! Dah..
10 Reactions
50 Replies
8K Views
Back
Top Bottom