hivi sisi vyura hatuishi matatizo kila siku??
Tulia wewe mnyonya ukwajuhivi sisi vyura hatuishi matatizo kila siku??
hawa viongoz sasa wanazingua...unamsimamishaje mpambanaji kama Ten ..kaipigania sana yanga huyu.... course ya utawala inahitajika kwa viongoz wa yanga....huu ni ukurupukaji.....kila mtu anafanya mistakes...tunaishi tunajifunza...that is how life goes.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa hoja, lakini wakati mwingine hili haliepukiki ingawaje kadi ya Lamine Moro kwenye mechi dhidi ya Biashara ilikuwa nyepesi sana.Nasakia inshu sio jez Bali ni ten alipoteza kumbukumbu za wachazaji 2 wa yanga lamil Moro na shishimbi kwamba walikuwa na kad 2 za njano na mech ya biashara kupewa kad nyingne na kufikisha kad 3 na kulazimika kukosa mechi ya simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja ktu kimoja kwa mfano ....Kosa moja isiwe ndio sababu ya kumfukuza.
Ten ni mbunifu sana, ameleta mambo mengi mapya na mazuri.
Viongizi sijui waliwaza nini kumuondoa kwenye ile nafasi yake ya awali?
Ten bado anahitajika Yanga na wanatakiwa akina Ten wapya wengi timu iendeshwe kisasa.
swala la jezi ni la kisheria mzee acha kuishi kwa mazoeahawa viongoz sasa wanazingua...unamsimamishaje mpambanaji kama Ten ..kaipigania sana yanga huyu.... course ya utawala inahitajika kwa viongoz wa yanga....huu ni ukurupukaji.....kila mtu anafanya mistakes...tunaishi tunajifunza...that is how life goes.
Sent using Jamii Forums mobile app