Bingwa wa US OPEN 2018, Naomi Osaka kumbe naye ni black, now I am happy for her that she's the champ!

squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,765
4,174
Habari zenu wale wadau wa michezo hasa tennis. Kama mjuavyo hivi karibuni, jumamosi kulikuwa na fainali ya grand slam ya Marekani, US OPEN. Bingwa aliibuka ni bidada toka Japan kwa jina la Naomi Osaka.
Licha ya huyu binti wa miaka 20 kushinda ila stori kubwa ni jinsi Serena Williams ambaye ndiye alicheza fainali na binti huyo wa kijapan alivyosababisha controversies kwa kumlalamikia na kumuita refa mwizi kwa kumnyang'anya points kisa alikuwa anaji-expreas hisia zake.
Hayo yote tuyaweke kando. Binafsi kama mtanzania nilikuwa dissapointed na Serena kushindwa chukua ubingwa. Sasa leo nimeangalia sports bbc walikuwa wanaongelea hiyo ishu ila nilishangaa kuwa Naomi Osaka kumbe baba yake ni mtu mweusi wa Haiti. Nikaingia google, kumbe ni kweli. Naomi Osaka ni BLACK. Na yeye anajichukulia hivyo sababu kwao upande wa pili unamtenga. Jina la Osaka alilichagua mama yake ili aweze jificha akiwa Japan. Na yeye Naomi Osaka anakili kuna wakati huko Japan walikuwa wanamshangaa ngozi yake kwa nini ana jina la kijapan wakati ni mweusi? Anadai hata bibi yake aliwazira yeye na mama yake kisa yeye ni mweusi na kwa nini mama yake alikuwa na uhusiano na mtu mweusi.
Baada ya kujua hilo, moyo wangu sasa umetulia na NIMEFURAHI mtu mweusi mwingine wa kike akichukia grand slam.
Go Go Go Naomi Osaka, THE US OPEN CHAMPION 2018.

20180911_191543.png

20180911_191924.png

20180911_191906.png

Naomi Osaka akiwa kiwanjani. Mimejikuta nampenda huyu binti, ghafla baada ya kujua ana ublack ndani yake. Nisamehewe kwa ubaguzi.
 
View attachment 863225

View attachment 863226

View attachment 863228

Naomi Osaka akiwa kiwanjani. Mimejikuta nampenda huyu binti, ghafla baada ya kujua ana ublack ndani yake. Nisamehewe kwa ubaguzi.

Kwahiyo uafrika wake unatusaidia nini sisi kama watanzania! Binafsi nawapenda wote bila kujali huyu Mweusi/Mweupe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom