Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hivi nduguzangu wa Arsenal mnawezaje kuvumilia vipigo visivyokoma? Mimi shabiki wa United kwa experience ya miaka 6 tu ya vipigo tangu SAF atoke tayari nishachoka na najihisi kukonda, sasa nyie...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau nimejaribu kufikiri hivi haya magoli yaliyofungwa misimu ya nyuma naona leo kile king'amuzi kingekitaa kabisa maana ni hatareee kama sio balaa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
They are the best teams They are the best teams The main event The master The best The great teams The champions A big meeting A great sporting event The main event
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Ni vile VAR inavyowabeba timu flani pale England ili ibebe ubingwa,baada ya msoto wa miaka lukuki. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya Wolves kumshinda Man City Jana, Liverpool ndio atacheza na Wolves Liverpool sio tu kuwa kapata nafasi ya kumsoma kiwango cha Wolves dhidi ya timu kubwa, bali pia atapambana na Wolves...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
SHUTI LILIKOKIUKA KANUNI ZA MWENDO ZA KISAYANSI Kuelekea Kombe la Dunia la 1998, wenyeji Ufaransa waliandaa mashindano maalumu ya kupima maandalizi yao. Wakati huo Kombe la Mabara lilikuwa...
4 Reactions
67 Replies
8K Views
Mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo, ameendelea kuweka wazi kuwa, mipango yake na kuja kucheza filamu mara baada ya kustaafu soka iko pale pale...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi Naona mnajifanya kama hamjui Endeleen kujificha kwa makwinyo lakin mjue kuwa leo tumemlalua alliances Yanga nguvu moja LONDON BOY
15 Reactions
77 Replies
7K Views
VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana pamoja na kwamba liverpool wana timu bora na wanatakiwa kuwa mabigwa ila wanabebwa sana na VAR angalia mechi yao inayoendelea. duh.
2 Reactions
69 Replies
6K Views
Wolves amezidi kututengeneza njia Wana YNWA... Poleni mashadiki man U,Chelsea,Arsenal na wote mliojificha kwenye kivuli Cha Mancity Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
48 Replies
4K Views
'Unyonge wa Liverpool kwa miaka 30 EPL umefikia kikomo' 28 Disemba 2019 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii WhatsApp Sambaza habari hii Messenger Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tukumbushane assists za ALLY ALLY VS YANGA 1. Yanga vs Stand United ,2018 Shuti toka kwa Yusuf Muhilu ally ally akajifunga ktk harakat za kuokoa mpira 2. KMC VS YANGA ,2019 *ALLY ALLY...
8 Reactions
69 Replies
11K Views
Kwa matokeo wanayopata westham katika ligi kuu ya uingereza ni wazi siku za huyu kocha wa zamani wa man vity Manuel Pellegrini zinahesabika mno Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwaka jana ligi yetu ilichezwa bila ya mdhamini mkuu (Main sponsor). Vila vililalamika sn kwamba kufanya kwao vibaya kulichangiwa na hali ngumu ya kifedha. Mungu si Athumani msimu huu Vodacom...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
HARUNA MOSHI MNYAMWEZI WA TABORA 'SHILLING 10' KWENYE KIOO CHA ZVONMIR BOBAN . 1987 katikati mwa Tanzania, pale Mboka Manyema kwa Wastaarabu wa Kinyamwezi, pale maskani ya Chief Mirambo, ndipo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
MADA Mchezaji Akifunga Goli Kisha Akashangilia Kwa Kuvua Jezi Halafu Akapata Kadi Ya Njano Ila Baada Ya Muda Goli Likakataliwa Kwa Sheria Ya VAR, Je Ile Kadi Ya Njano Inafutwa Au Inabaki...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Muda mchache ujao tutashuhudia pambano la ubingwa (Vacant WBA Lightweight Title) kati ya Mmarekani Gervonta Davis 'Tank' ambaye yupo chini ya TMT ya Mayweather na Mcuba Yuriorkis Gamboa. Rekodi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
"Nilienda ofisini kwenda kufuatilia baadhi ya mambo lakini ndani ya ofisi kulikuwa na TV inayoonyesha mechi ya African Lyon na Jkt mara nikamuona mchezaji mmoja anapiga pass kiufasaha na touch one...
1 Reactions
76 Replies
11K Views
Yule star mwenye miguu ya dhahabu amegonga 26 wanayanga mpo wapi tumpongeze kijana wwtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Boban mwenye ndoto za kucheza soka kimataifa alicheza mchezo wake wa...
2 Reactions
84 Replies
9K Views
MAKOCHA WAZAWA WANAVYOKUBALI KUACHWA NA MUDA KUELEKEA SOKA LA KISASA NA LA KISHINDNI Tanzania ni moja ya Nchi iliyobarikiwa kuwa na vijana wengi wenye Taranta ya kusakata kabumbu kwa umaridadi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom