Happy New Year To All Man United Fans

Naomba nichukue nafasi hii kuwatakia heri na baraka washabiki wote wa Man United.

Wajaliwe kuendelea kupata matokeo kama waliyoyapata msimu uliopita na huu unao endelea, kwa miaka mingi ijayo.
Hivi hili nalo lilikuwa na haja ya kuanzisha uzi? Hii si ingetosha kuwa comment kwenye uzi wa man u
 
Hahaha, nikiweza kumfunga Ole wengine wataanza nao kupata mbinu, hapo ndo mtakapotafuta akili ya kudili na madogo.
kweli nimeamini mashabiki wa liverpool na man utd hawaivi chungu kimoja....

dah! kumbe hatuwezi kupata dawa ya kuzifunga timu ndogo mfululizo mpaka tufungwe na jogoo

hongera bingwa mtarajiwa japokuwa mwaka jana uliipoteza nafasi kizembe sana ilipofika mwezi january to march, natumai ugonjwa ule hautojirudia tena.
 
kweli nimeamini mashabiki wa liverpool na man utd hawaivi chungu kimoja....

dah! kumbe hatuwezi kupata dawa ya kuzifunga timu ndogo mfululizo mpaka tufungwe na jongoi

hongera bingwa mtarajiwa japokuwa mwaka jana uliipoteza nafasi kizembe sana ilipofika mwezi january to march, natumai ugonjwa ule hautojirudia tena.

Mwaka huu angalau tumeweka margin kubwa ya makosa.

Hivyo hongera tunazipokea kwa kujiamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom