Huyu dogo sijui alikuwa kituo gani kabla ya kwenda Wasafi Radio. Ananikosha sana katika uchambuzi wake. Haegemei popote, hafuati hisia za watu.
Tofauti na wachambuzi wengine hana ubaguzi,hana...
Yule mtoto kutoka kitaa chenye mishe mishe zake ndani ya Dar Es Salaam, Manzese pale kwa Madee Ali, pale ambapo Richard Mabala alipafanya setting ya kitabu chake cha 'Hawa the Bus Driver' ndipo...
Alex Furguson alipopewa ukocha wa Man United alisema lengo lake la kwanza ni kuumaliza utawala wa Liverpool kwenye soka la uingereza na kweli mzee alifanikiwa kwa kutumia kila njia za ndani uwanja...
HAYO NDIO MATOKEO HALISI MSIENDE MKAWAZA VINGINEVYO NA KUUMIZA MIOYO YENU
FT 1-1/2-2
HARUNA N KAMA ATACHEXA ATAFUNGA
UPANDE WA SIMBA ANAISHIA NA HATA SHATTA .HUYU NAE ATAFUNGA GOLI
SO FAR
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, kuendelea kutimua vumbi leo December 28, 2019 ambapo KMC FC Kino Boys, kukinukisha na Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni...
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye...
Shilingi imeganda huku watu wakifanya comeback ya mwaka mpya. Je Nani kalala na viata kati photocopy barcelona vs butua fc.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mashabiki wa Yanga kutua Dar kwa kutumia baiskeli wakitokea Mtwara, na mwingine akitokea Kigoma kwa pikipiki, Kali kuliko zote ilikuwa leo asubuhi baada mashabiki 13 wa klabu ya Yanga...
Si kawaida yao kuwa kimya kiasi hiki bila tambo wala majigambo kuelekea mechi yao dhidi ya wababe wao Simba. Hawa jamaa ni lazima wako kwenye maombi mazito ya kimya kimya wakiomba kesho dau lao...
AARON WAN-BISSAKA NA TRENT ALEXANDER-ARNOLD KILA MTU BORA KWA NAMNA YAKE ILA KUNA NAFASI YA MMOJA KUWA MKUBWA ZAIDI:
Aaron Wan-Bissaka ameacha maswali mengi akiangaliwa na Trent...
UCHAMBUZI KUELEKEA DERBY
YA KARIAKOO
________________________________
Waliouzungumza wamezungumza, waliotamba wametamba sana na waliochambua bado tunachambua maana heshima ya mpira ni baada ya...
Habar, Siku chache tulisikia uongozi wa yanga ukimsimamisha meneja wao .Dismas ten kwa kile kilichodaiwa kuwavalisha wachezaj a bech la ufund jezi zisizotakiwa
Jana tena tukasikia wamemsimamisha...
Changamoto imekuwa kubwa, ni jinsi ya kuikabili Simba.
Wengine wakitoa hoja kuwa usajili mpya umewaimarisha hivyo wafunguke, lakini wale wanaosema kupaki basi ndio suluhisho la kuiepuka aibu...
Mwanadada mrembo aitwae Salma mkazi wa Temeke wakati akihojiwa na Dauda Tv akaulizwa mchezaji gani anampenda wa Simba akasema Kagere na akaongezea Kama alifunga goal dhidi ya Yanga anioe bure bila...
Kuelekea mechi ya watani wa jadi simba na yanga karibu kuweka ubashiri wako hapa
Simba iliyo na kikosi imara kilicho bora kila idara itawakaribisha yanga ambao wamekuwa wakipata matokeo ya...
Mechi ya watani wa jadi ni mechi ambayo ndo mechi kubwa katika soka la Tanzania.
Rai yangu kwa viongozi hii ndo mechi ambayo club mwenyeji unaweza ukafanya biashara.
Hii mechi ni kubwa kibiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.