Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
81,761
2,000
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.

Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .

Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .

Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,383
2,000
Sijui ilikuwaje Chelsea tukamuuza. I guess the competition was stiff. Na hili sasa linaweza kupelekea tukampoteza mtu kama Willian. Benchi halimfai kabisa.
 
xYz07

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
3,905
2,000
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.

Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .

Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .

Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.

Niliposoma hapo tu sijaendelea kupoteza muda wangu wa kusoma habari yote.

Angetangulia kuwapa AS Roma angalau copa italia ningeelewa ulichoandika
 
MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
500
Ligi ya Italia ni ya wachovu na vikongwe ndiyo maana Pogba imemchukua muda kuizoea ligi kuu ya Uingereza. Wachezaji wakichoka na kuzeeka wanamalizia safari yao ya kustaafu Italy baadaye Marekani au siku hizi Uchina mwishowe Umangani.
 
ma-effect

Member
Jul 15, 2014
95
150
Mo Salah atatisha. So kwa sababu ni tishio, bali ni kwa sababu ya wachezaji watakaomzunguka. Mtu umezungukwa na Firmino, Mane afu na kachawi ka kiBrazil Coutinho...
Isitoshe Lallana nae. Na ukizingatia uwezo wake Wa kuSprint, ase Liver hii mmmmmmmm
 
WAIKORU

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,312
2,000
Kitu ambacho hujui ni kwamba Roma wanakikosi kizuri na balanced kuliko livapunga, kama upo tayari sema tuende mchezaji mmoja mmoja
Nilivoona avatar yako tu...nikaipuuza hii post yako..

manyanga'au mtaisoma namba season ijayo...
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,652
2,000
Mo Salah atatisha. So kwa sababu ni tishio, bali ni kwa sababu ya wachezaji watakaomzunguka. Mtu umezungukwa na Firmino, Mane afu na kachawi ka kiBrazil Coutinho...
Isitoshe Lallana nae. Na ukizingatia uwezo wake Wa kuSprint, ase Liver hii mmmmmmmm

Dah sijaiona iyo,,,,na kutinya pia mchawi wa soka????
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,183
2,000
Mo Salah atatisha. So kwa sababu ni tishio, bali ni kwa sababu ya wachezaji watakaomzunguka. Mtu umezungukwa na Firmino, Mane afu na kachawi ka kiBrazil Coutinho...
Isitoshe Lallana nae. Na ukizingatia uwezo wake Wa kuSprint, ase Liver hii mmmmmmmm
Hawa wote wataendelea kuwepo Liverpool?
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.

Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .

Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .

Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.
UBINGWA NI WA TOTENHAM HOTSPURS
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom