Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kocha wa Timu ya Gaborone United ya Botswana, Sean Connor amesema kikosi chake kimejipanga kwa nidhamu, umakini na mbinu kuhakikisha kinapata matokeo dhidi ya Young Africans, akieleza kuwa...
1 Reactions
5 Replies
215 Views
Ukipenda sana Kutumika katika Shughuli za Kiulozi / Uchawi wa hasa hizi Timu mbili basi jua mwisho watakutoa Wewe.
5 Reactions
22 Replies
371 Views
Wanajibondea tu magoli. Team Haina mfungaji, goli Nne kila goli na mfungaji wake.
1 Reactions
5 Replies
98 Views
Rodri anadaiwa kutoa kauli hiyo akiwa amekaa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani katika ushindi wa Barcelona wa mabao 5-0 dhidi ya Valencia katika mchezo wa ligi Jumapili. Matokeo hayo...
3 Reactions
9 Replies
154 Views
Nasema hivi kwakuwa najua nasi Siku hizi tumewaiga Wenzetu kwa Kutoa Makafara ya Watu tunapotaka jambo letu.
0 Reactions
4 Replies
179 Views
Afrika imewahi kuwa na mshindi mmoja tu wa Ballon d'Or, na huenda ikasubiri zaidi kuona mchezaji mwingine akifuata nyayo za George Weah baada ya orodha ya mwaka huu kutangazwa. Nahodha wa...
1 Reactions
4 Replies
107 Views
Yaani sijapendezwa na michezob yetu ikiwa leo tunampigamtu
0 Reactions
9 Replies
106 Views
  • Redirect
Nyota wa Kimataifa Kutoka Tanzania Clara Luvanga ametangazwa kuwa mchezaji mpya wa Washington Spirit inayishiriki Ligi Kuu ya Marekani akitokea Al Nassr ya Saudi Arabia Clara amesaini mkataba wa...
1 Reactions
– Replies
– Views
Wananchiii, Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji. Siwaoni wakiibeba yanga...
8 Reactions
55 Replies
781 Views
Wakuu karibuni mchangie maoni yenu kuhusu vikwazo vya ukuaji wa soka la hapa kwetu Tanzania
2 Reactions
2 Replies
35 Views
"Ai see, hilo swala bwana... Kwanza ningetamani sana kukujibu lakini sasa ha- hili jambo pia lipo kwenye... kwenye mikono ya sheria kwa hiyo sasa kila... Kwa upande wa ambao wanalilalamikia...
1 Reactions
9 Replies
369 Views
Beki wa Iran, Nader Mohammadi, anayekipiga kwenye Ligi ya Russia na Spartak Kostroma, ameendelea kutengeneza gumzo kwenye soka kutokana na uwezo wake wa kipekee wa kutumia flip throw-in kusaidia...
3 Reactions
2 Replies
117 Views
Mchezo wa jana wa ufunguzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), Manchester City walishinda mabao 2–0 dhidi ya FC Porto kwenye Uwanja wa Estádio do Dragão. Mabao yote mawili ya Man...
3 Reactions
3 Replies
156 Views
Raphinha ameendelea kuonyesha umuhimu wake ndani ya Barcelona, baada ya kuwa sehemu ya kundi la manahodha msimu uliopita na sasa kuteuliwa kuwa nahodha wa kwanza wa timu hiyo msimu wa 2026/27...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Hatimae wale wadau wa Canal Sport, kilio chenu kimesikika sasa ligi ya Serie A itaanza kuonekana katika king'amuzi cha Canal Sport kwanzia mwezi huu wa 8 tarehe 24. Kupitia Canal Sport sasa...
5 Reactions
111 Replies
16K Views
David Kameta ajibu madai ya kutumia jina la mtu mwingine na kuhojiwa kuhusu umri wake. Akizungumza na Times FM, Kameta amesema anatumia jina lake rasmi la David Godfraey Kameta, huku akieleza...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Je, Haaland anaweza kumaliza msimu akiwa mfungaji bora wa Champions League?
3 Reactions
3 Replies
69 Views
Nikikumbuka sakata la Ramadhani Kabwili picha inanijia kichwani kuwa huenda kweli kuna kiongozi wetu na baadhi ya wachezaji walikuwa wanamgagadua kipa wetu. Nikiangalia vishundu vya akina Azizi...
0 Reactions
5 Replies
164 Views
Haka kasemaji ketu nasikia hata kubaruza hakabaruzi. Sasa sijui inakuaje. Isije ikawa kanabaruzwa.
1 Reactions
2 Replies
132 Views
DJ NIPEEEE WIMBO WA UNAWEEEZA KUFANYA UNAWEZAA KUTENDAAAAA MAMBOOO MAKUBWAAA ZAIDII YA NIOMBAVYOOO HUU NDIO WIMBO WETU JAMANI SELE DAY
1 Reactions
1 Replies
59 Views
Back
Top Bottom