MAWEED
Platinum Member
- Oct 11, 2016
- 4,626
- 16,385
DARASA HURU 💁🏾♂️
Kuelekea Semi-final na ARGENTINA...
Elcapitano Maestro 🗣Baadhi ya wana England 🏴 akiwemo Tuchel 🇩🇪 wakiulizwa kuhusu Argentina kuelekea Nusu Fainali.
1. Jude Bellingham 🏴 🗣 "Argentina? Hapana, wao ni timu ya kawaida tu sisi ni bora kuliko wao kwa kila kitu."
2. John Terry 🏴 🗣"Argentina HAINIPI wasiwasi. siioni Argentina kama bora kuliko sisi hata ukiangalia Mchezaji kwa mchezaji, sisi ni BORA KULIKO Argentina."
3. Joe Cole 🏴 🗣"Hakika tutawashinda Argentina kwa ushindi mkubwa, tutashinda Kombe la Dunia wakati huu"
4. Tuchel (Kocha wa Uingereza) 🏴 🗣 "Argentina? Hawako vizuri kama sisi, tutawapa pambano zuri."
5. David Beckham 🏴 🗣"Argentina? Wako vizuri tu kwa sababu wana Messi, natumai Uingereza itaingia fainali"
6. Harry Kane 🏴 🗣"Tulipigana vizuri ili tuwe hapa tulipo leo, Argentina haitatupita sisi tutacheza fainali."
7. Declan Rice 🏴 🗣 "Argentina? Wana Messi na sisi tuna timu, sisi ni bora kuliko wao."
💁🏾♂️