loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,194
- 4,938
Ebana Wanajamvi inakuwaje pande za huko? Poleni na majukumu, pilka pilka na mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta riziki maisha yaende.
To my side really I can't complain as long as am sure of smoking it's something am overwhelming grateful.
Faster kwenye mada watu wangu. Hiki kitu kinanikera sana. Sasa hivi kombe la dunia linaendelea huko Mexico, Canada na Marekani. Lakini cha kushangaza kuna ligi zingine zinaendelea duniani.
Yani hata kwetu ligi kuu bara inaendelea. Hata huko Argentina, Brazil, Australia, nchi za Asia, ulaya na Africa kuna mashindano ya pira yanaendelea wakati huu.
Hii siyo sawa kabisa wakati huu hadi kombe la dunia liishe inatakiwa kuwe na marufuku ya mashindano yoyote ya mpira.
Ni mwezi mmoja tu kwanini wasivumilie tu. Hii inashusha hadhi ya kombe la dunia.
MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA LAZIMA YAHESHIMIWE.
adriz de mbusii