Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma, kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), siku ya tarehe 12/08/2025.
Mchango ule...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana
Badala ya upendo umeleta chuki
Badala ya umoja umeleta mgawanyiko
Haya yote yametokea baada ya wewe kutaka usifiwe na kila...
Ni Dhahiri kwamba wamevunja sheria za Shirikisho la Soka la Africa, kwa timu hiyo kushiriki siasa za Majukwaani za Chama kilicholeta kila aina ya dhiki Nchini Tanzania
CAF haijawahi kusajili...
Sasa ni rasmi Timu ya Manchester United inamaliza msimu wa 2024/25 ikiwa mikono mitupu, hiyo ni baada ya kupoteza kwa Goli 1-0 katika Fainali ya Europa League dhidi ya Tottenham Hotspur ambayo...
Taifa Stars Kufunga Kundi B CHAN 2024 Leo
Leo, Agosti 16, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani kumenyana na Central Africa (Jamhuri ya Kati) katika mchezo wa mwisho wa...
[emoji460]️ Rayon Sports FC[emoji739]Young Africans SC
[emoji2522] Amahoro Stadium, Kigali
[emoji2783] 15.08.2025
[emoji313] Rayon Sports Day
Saa 1:00 usiku
Our starting lineup to take on Rayon...
I will be short
1. Yanga amna kocha
2 . Conte wenge nyingi sana anaitaji game time
3. Ecu sio mchezaji mzuri ni mchezaji machachali
4. jezi ni mbaya may be za mazoezi
5 . Pacome ni mtu...
Natoka pongezi Kwa uongozi wa Yanga Kwa kukiri kosa na kuomba radhi Wanachama kuhusu mgongano wa mawazo uliotokea kwa Yanga kuchangia milion 100 kampeni za CCM
Sisi kama Wanachama wa Yanga tusio...
Klabu ya Yanga imechagia milioni 100 CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
Hivi huyu ni msemaji wa Yanga au msemaji wa Hersi?
Kwani haelewi kwamba kuna Hersi rais wa Yanga na Hersi Said mwenye maisha yake binafsi? Suala la kugombea ni suala binafsi la Hersi linaihusu...
Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au...
ndiyo hivyo bhana tunazo hizo kete mbili nazo ni king,#5 imejaziliwa kuwa #6 mchezeshaji anazitwaa(kuzila) hizo chap, hesabu zimeshapigwa na mpaka kufikia hesabu ya namba za hizo kete mbili...
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, tulizilea hizi timu katika mtindo huo na sio rahisi leo kuzitenganisha na CCM, chombo pekee kinachoweza kufanya hivyo ni FIFA kuzipa onyo na kuendelea kuzifuatilia...
Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza...
Dalili zote zilianza mapema sana kufanywa na GSM kupitia Engineer Hersi kuitumia klabu ya Yanga kama kichaka cha kufanikiwa kisiasa na kutakatishia pesa. Hitimisho likawa juzi kwenye harambee ya...
Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC.
Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.