Raisi karia kashinda uraisi wa TFF

Raisi karia kashinda uraisi wa TFF

Habari ndo hiyo..
Yule msomalia kashinda tena
Wasomali ni waroho wa madaraka na walafi, wakipewa madaraka makubwa kuwatoa ni ngumu sana, embu angalia huyu mmoja anagombea ubunge kila jimbo lililowazi ,huku mwingine anatuhumiwa kupanga safu yake ya viongozi , mwingine kabadilisha hadi katiba ya tff ili agombee muhula wa tatu na kazuia wenzake wote wasigombee upuuzi mtupu
 
Alikuwa anashindana na nani?

Ngozi nyeusi kwenye madaraka kama nzi na kidonda.
Competing against your self ni sawa na CCM................. lazima washinde

Binadamu vs gari la mtoto alilotengeneza kwa mabua ya mahindi mtoto analiendesha huku anatembea kwa miguu anakwambia njoo upande gari lake

Swali fikirishi uchaguzi mkuu CCM VS Vikalagosi, nani atashinda
 
Back
Top Bottom