Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,074
- 7,068
Klabu ya Yanga imechagia milioni 100 CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
leo unaikana Yanga yako oshie 😀Hii nchi kila sehemu imetekwa/imechukuliwa/inamilikiwa na wahuni. Sijui tutakimbilia wapi!
acha wivu mkuuMoney laundering
Kama na yenyewe imetekwa na wahuni, hakuna namna. Nitaikana hadharani. Kwa sababu Yanga inashabikiwa/ina wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa, na wengine hata hawajishughulishi na siasa.leo unaikana Yanga yako oshie 😀
Sawa, Utopolo wanalipa Fadhila kwa Ubingwa wa Mwaka huu, Mama aliokoa jahazi.
Wangeingiza timu tarehe 15, wangekiona cha mtema kuni
Katika hili viongozi wamezingua sanaKama na yenyewe imetekwa na wahuni, hakuna namna. Nitaikana hadharani. Kwa sababu Yanga inashabikiwa/ina wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa, na wengine hata hawajishughulishina siasa.
Sasa viongozi wake wanapoamua kuiingiza timu kwenye siasa za chama tawala, ni lazima sisi wengine tusiopenda siasa kuchanganywa kwenye michezo; kupinga kwa nguvu zote. Kwanza hapa nilipo nawaza hata hiyo siku yao ya mwananchi, nisiende! Wala kununua jezi zao.
Hamna pa kukimbilia. Kama jamii imejaa watu wa hovyo, hizo Simba na Yanga wangepata wapi viongozi wenye akili?Hii nchi kila sehemu imetekwa/imechukuliwa/inamilikiwa na wahuni. Sijui tutakimbilia wapi!