Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amewataka Watanzania kufurika na kuujaza Uwanja wa Mkapa kwenye michuano ya CHAN
Msigwa ameshangaa uzito wa Watanzania kwenda uwanjani kuishangilia taifa...
Rasmi
Naomba muelewe mambo ya kutuana vidole vya macho ooh karia kaipendelea timu fulan naomba niwajulishe tumefanya mabadiliko na sasa rasmi
Bodi ya ligi itajitegemea na sisi tutasimamia...
Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana
Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama...
Siku kadhaa zilizopita kulitokea sintofahamu baada ya chama la Yanga kuchangia kwenye harambee ya CCM Tsh milion 100 ni mengi sana yaliibuka na yanaendelea kuibuka.
Kuna wale wanaoichukia Yanga...
"Kila ninapoingia hapa, siwezi kujizuia kumkumbuka namna alivyotembea, alivyotawala mpira. Lilikuwa jambo la kipekee kabisa; tofauti na lolote nililowahi kuona."
Hayo ni maneno ya mmoja wa...
Sisi ndio Host kwenye haya mashindano...na mwenyeji ana haki zake...
Haki zake ni pamoja na kuhusishwa kupanga muda sahihi wa mechi kuchezwa katika nchi yake.
Kucheza saa mbili usiku sio desturi...
Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football
Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana
Leo tazama wachezaji maingizo mapya
1. Mohamed Doumbia
Huyu jamaa...
BINGWA: liverpool
MFUNGAJI BORA: halaand
GK BORA: donnaruma
YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko
MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer
TOP SIX:
liverpool
Man city
Arsenal
Man Utd
Chelsea
Tottenham
Mzee wa VAR Mchome Mapovu anasema Simba Day waalikwe Yanga lakini wasiweke Kombe maana watawaaribia shughuli Yao.
Ili Simba wajipime fuleshi na kikosi chao kabla ya ngao ya jamii ni shart...
KILIMANJARO YA SWEDEN YATWAA UBINGWA WA BONANZA LA SERENGETI NCHINI UBELGIJI
Na Mwandishi Wetu, Antwerp, Ubelgiji.
Timu ya soka ya Watanzania iitwayo Kilimanjaro kutoka Sweden imetwaa tena kwa...
Kocha Rogath John Stephen Akhwari Ashinda urais wa shirikisho la riadha Tanzania -RT kwa kura 27 na kumbwaga mpinzani wake Nsolo Malongo Mlozi aliyepata kura 20.
Mpinzani wake baada ya kushindwa...
Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira.
Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali...
TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo.
-
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais...
Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya...
Nafasi ya Urais TFF imebakia 1 nayo ni ya Wallace Karia, wagombea wengine 6 wamekosa sifa kwenye mchujo na usaili wa awali
Tatizo kubwa lililowanyima sifa za kugombea Urais ni kukosa endorsement...
TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika...
Wadau wanaoshangaa Uhaba mashabiki Uwanjani hata kama inacheza timu yao ya Taifa, wanapaswa kuelewa kwamba Soka siyo kichaka cha Siasa za CCM
Timu ya Taifa ni mali ya Wananchi wote wakiwemo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.