Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rayon Sports inaacha Kukaza ili kujipima na kuona Uwezo kitimu wao walichokifanya Wao ni Kukubali Kufungwa Kiurafiki.
4 Reactions
10 Replies
958 Views
Mawakili waliofungua kesi ya kusimamisha uchaguzi mkuu wa TFF ambao unatarajia kufanyika siku ya kesho wameshindwa kesi, Mawakili hao wametakiwa pia kulipa gharama za kesi. Uchaguzi Mkuu wa TFF...
0 Reactions
9 Replies
642 Views
Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
2 Reactions
14 Replies
987 Views
Wakuu habari, Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Nafikiri Ally Kamwe anapaswa kumuomba radhi Yasmni Razack kwasababu yule sio winga yule ni msimamizi wa wachezaji na kasimamia wachezaji wengi ambao wamecheza Yanga na wengine bado wanacheza...
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Kila Mechi naona wanachukua Picha nzima nzima za Wachezaji walio Benchini wakiwa wamekaa (kwa kujiachia kabisa) na Kuvalia Bukta halafu Kende zinaonekana wazi wazi
0 Reactions
6 Replies
473 Views
Tumepata beki msauzi lkn hatuna uhakika kama atazima kweli isije ikawa kam yule beki mwili jumba kutoka Sudan akawa anachekesha tu. Mabeki Chamou na Hamza tulikuwa nao msimu uliopita, wana...
2 Reactions
2 Replies
348 Views
Nilikuona jana kupitia Azam tv Ukiweweseka kuwaita watu uwanjani bila shaka hujui. Acha nikupasue na kukupa ukweli 1. kwakuwa wewe ni mwana CCM, ulifanya figisu hata kuwakataza wagombea wengine...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka Nimeanza...
22 Reactions
117 Replies
7K Views
Kuelekea msimu mpya wa EPL kama kutakuwa na mtu anafahamu best livestreaming app, unaweza ukaziweka hapa ili tufaidike wote
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu! Klabu ya Yanga wamefuta post ya kuomba radhi, ambayo ilikuwa ikihusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa CCM. Soma > Yanga wasema mchango wa Milioni 100 kwa CCM ulitolewa na...
0 Reactions
4 Replies
725 Views
Kama makocha wetu wangekuwa na uwezo wa kutambua vipaji basi kiungo wa pembeni Edmund John ni namba moja, dogo anajua sana boli, awali alipokuwa Singida nilidhan ni mchezaji wa kigeni lkn baadae...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Usiku wa Jana nimeona viongozi wa Yanga wakiwa kwenye harambee ya ccm na kuihusisha yangu kama taasisi na kutoa million mia kuichangia CCM!! Swali langu ni lini club za soka duniani zilionekana...
37 Reactions
286 Replies
10K Views
Baada ya kumalizika rasmi kwa msimu wa 2024/2025 mnamo Mei 25, 2025, Ligi Kuu ya Uingereza (English Premier League) itaendelea leo kuashiria rasmi kuanza kwa msimu wa 2025/2026. Mchezo wa ufunguzi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikosi cha Simba mapema leo Ijumaa (Agosti 15), kimeondoka jijini Ismailia kwenda jijini Cairo, Misri kuendelea na kambi ya maandalizi ya msimu mpya 2025/26. Kikosi cha Simba kitaweka kambi...
1 Reactions
4 Replies
531 Views
Nahodha wa Bafana Bafana kwenye CHAN2024, Neo Maema amepewa mkono wa kwaheri na klabu yake ya Mamelodi Sundowns baada ya kuhudumu klabuni hapo kwa miaka minne na kuifungia magoli 13, akisaidia...
0 Reactions
5 Replies
694 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa Azam TV Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), baada ya...
1 Reactions
2 Replies
279 Views
Shirikisho la riadha Tanzania -RT kesho linatarajia kufanya uchaguzi wao mkuu wa viongozi mbalimbali, ikiwemo rais na makamu wake; nafasi ya uwakilishi wanawake na nafasi ya ujumbe kwenye kamati...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo. Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom