Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

WAMEMFANYIA MWENETU UBAYA UBWELA HUKO SASA WANATAKA KUPELEKANA FIFA Ishu nzima ilianza pale Captain aliposepa wakamsajili beki mmoja mzawa kutoka hapa hapa Timu za Ligi kuu Huyo beki ni mzuri...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Lilikuwa na timu nne tu, halafu ufaulu wa robo fainali unatokana na michezo miwili ti wakati groups nyingine zilicheza michezo minne minne tane mingi ikiwa ni naili baiting kama ule wa Uganda na...
1 Reactions
3 Replies
479 Views
Jumla ya wachezaji 30 wameitwa timu ya taifa na kila mmoja ametoa mchango wake kwa nafasi yake. Sasa mbona ghafla topic yote imegeuzwa Kagoma pekee? Kwanini isiwe Mzize au Feisali waliokuwa...
-2 Reactions
10 Replies
865 Views
Hongereni
2 Reactions
7 Replies
594 Views
Kinachotrendi mitandaoni kwa sasa ni Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line kupewa tenda ya kusafirisha staff wakiwemo wanasoka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hata wangetoa laki 5 kama alivyofanya Chief Godlove,kosa liko palepale Kosa la yanga au Hersi Said sio amount waliyotoa,bali ni Hersi Saidi kiongozi wa Yanga kutamka kauli inayohusisha club na...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
1 Reactions
7 Replies
735 Views
Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
2 Reactions
15 Replies
765 Views
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sports Club Clatous Chama, ameibuka na kudai kuwa hakuna mchezaji ambaye hatamani kuichezea klabu ya Simba SC, kutokana na ukubwa na ushawishi wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jinsi ya kuwasilisha malalamiko kwa FIFA --- 📝 Jinsi ya Kuwasilisha Malalamiko kwa FIFA 1. Tambua Aina ya Malalamiko Yako FIFA inashughulikia malalamiko ya aina mbalimbali, kama vile...
1 Reactions
2 Replies
657 Views
Hii Timu 1st Game imemwaga moto tayari. Ogopa sana kuwa fan wa hii timu at the same time upo kwa Utopolo mbwembwe nyingi vitendo "0"
0 Reactions
5 Replies
355 Views
Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze. Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
Hivi karibuni mashabiki wa ile timu ya Manzoki na Mzee Rage walikua wanapigania haki ya Mzize aende nje akajitafutie maisha kwamba timu yake ina roho mbaya ajabu ni kwamba timu yao imemsajiri...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
warning Napita tuuuu mue makini na Chelsea tfay drw njemjee
0 Reactions
7 Replies
530 Views
Wakati nchi nzima imechachamaa kutokana na mchango wa shilingi milioni 100 ilizotoa klabu ya Yanga kusapoti kampeni za CCM, kuna jambo lingine lilipita kimya kimya katika Harambee ile na ambalo...
21 Reactions
43 Replies
5K Views
Humu ndani naona Feisal Salum ndiye mchezaji anayepambwa sana kuwa ni mchezaji kiwango sana kupita wachezaji wengine wazawa. Lakini sikuwahi kusikia kuna timu nje iliyoonyesha nia ya kumchukuwa...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Kikosi kilicho anza leo kimesheheni wanzazibari, pipino , fey, shekhan, Ibrahim baka, na yule straiker alie funga goli likawa offside. Tulitegemea aya nimashindano ya ya kuonyesha vipaji vya...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom