Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo Vilabu vyetu hivi vya soka...
23 Reactions
77 Replies
3K Views
Baada ya Hersi Said kuomba Uenyekiti kwa kudanganya umma kwamba eti kaombwa na Wazee, sasa ni dhahiri ule mpango wa gizani wa GSM kuichukua timu ya Yanga bila jasho umetimia. Hakuna cha bure ...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine. Hii ni kwa...
13 Reactions
87 Replies
9K Views
Mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji. Eng. Hersi ameteleza vibaya sana kwenye hili. Pale ingetosha tu kusema GSM kachangia 10b basi. Na watu wa media wakakosea zaidi kuiweka 100m kwenye...
0 Reactions
3 Replies
417 Views
Jana usiku pale Mlimani City imedhihirika Eng Hersi anataka kuitumia Yanga kwa manufaa yake kwa gharama yoyote hata kama ni kuiingiza timu matatizo ya kikanuni. Hakuna kikao cha timu kilichokaa...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Mashabiki wa soka wa Kenya wakishangilia ushindi wa 1-0 wa Harambee Stars dhidi ya Morocco katika mechi yao ya tatu ya Kundi A ya CHAN 2024 kwenye Uwanja wa Kasarani tarehe 10 Agosti 2025. Rais...
0 Reactions
5 Replies
884 Views
Ni wazi Yanga imekiuka kanuni za FIFA kwa kushiriki kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu wa kisiasa kupata viongozi wa serikali. Kwa hiyo ili kuepuka rungu la FIFA na kulinda heshima ya nchi...
2 Reactions
11 Replies
990 Views
Mpangilio wa rangi za viti na rangi zenyewe umeleta giza ndani ya uwanja wa Mkapa. Hata Mpira unapooneshwa na kamera kuelekezwa kwenye maeneo ya vitu visivyo na watu au watu wachache unaona...
4 Reactions
7 Replies
625 Views
Ni kauli ya Rais wa TFF Leo Arusha akitoa hotobu mbele ya mkutano mkuu,kauli yake nadhani anamlenga Michael R wambura kwamba ni mkorofi analengo la kuharibu mpira. Nimeshangaa kwann kamuhusisha...
3 Reactions
99 Replies
19K Views
Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
0 Reactions
4 Replies
523 Views
Nikiri wazi mimi ni shabiki wa Yanga kindakindaki kutoka moyoni. Lakini kwa hiki kilichofanyika imekua chukizo kwangu na kwa wengine wengi kama mimi. Najua wengine watabeza ila tayari nime...
14 Reactions
43 Replies
2K Views
Kuna watu wengi sana wanasema Messi wengine Ronaldo; wewe unamuona nani mchezaji bora zaidi kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi😝
0 Reactions
2 Replies
303 Views
Zama hizi mtu anayepiga kelele na kubwabwaja huyo ni tahira. Kama kiongozi au viongozi wame misuse pesa za timu ambazo ni za shirika mahakama ziko wazi. Kubwabwaja maana yake pesa za Yanga au...
1 Reactions
1 Replies
333 Views
Yule boss wao kauziwa timu bilioni 20, badae akasema hatoi hiyo hela ila atanunua bonds za BOT na faida atakuwa anawapa, sahivi anasema alitumia bilioni 87 kununua boxer za kuvaa, mchicha na...
1 Reactions
1 Replies
356 Views
Kwa mwenendo na mstakabali wa timu zetu za kariakoo (Msimbazi na Jangwani) na kumbato lao la kisiasa basi hatuna budi kuifufua New Young Ili kuwa kimichezo zaidi na kuweka kando siasa. Watoto wa...
1 Reactions
1 Replies
319 Views
Msemaji wa yanga akijieleza kwa mashabiki wake kuhusu mchango wa milioni 100 kwa ajili ya ccm,amesema kuwa timu yao ina historia ndefu ya kupigania ukombozi wa wananchi. Mimi nauliza...
1 Reactions
4 Replies
428 Views
Wale wazee wa mikeka wanaweza kujua hili au na wengine wanaojua tuelimishane. Juzi juzi nilikuwa naangalia video za jamaa mmoja alishinda Jackpot ya shilingi bilioni 1. Katika maelezo yake jamaa...
20 Reactions
125 Replies
7K Views
Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
1. Huna baya kwa kuichangia CCM kWa sababu hakuna anayejua wapi unapata mahela ya kuwapa furaha wanayanga 2. Zingatia sana maneno ya Manara kuwa Yanga ambayo wewe ni Rais wake wenye akili ni...
-1 Reactions
3 Replies
506 Views
Back
Top Bottom