Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

some pics of dimitar berbatov
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In one exibition final assessment a certain painter coming from arich family that did not like the boy to engage in the artist profession,i recall they rather bought the examiner and in his...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa alitumwa kwenda kushiriki si kuwakilisha, mpo hapo?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa walio mwanza... hata juu ya mawe waweza kuweka kitu kikakubalika. Ni kiasi cha kufanya utafiti, kutafuta pesa na kuwa na wataalam mahili. Mfano ni huu hapa nawapeni
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Yani Jamaa analala tu akija kuamka anajibu Pumba tupuuu hajui wapi wenzie waweishia wala wapi walianzia.....Magamba bana!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Je wapafahamu hapa?
0 Reactions
21 Replies
6K Views
jamani hii picha inatufundisha kitu gani cc wa TZ?
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Jamani yaani nikiona mke wangu amekasirishwa na kitu basi hii picha inatuliwaza sana huwa namwambia na sisi ipo siku mmoja wetu atakuwa akila usingizini kwenye mkutano kama hivi akimuwaza...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani mimi sina komenti, mambo hayo
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Picha toka kwa Michuzi Blog Kwanini hawaonekani wenye furaha?
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu leo katika pita pita zangu jijini Dsm nimekutana na tangazo limewekwa barabarani, niliamua kulipiga picha ili nanyi wana j.f mjionee jinsi.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama picha za guiness book of records zinasisimua hii nayo ni mwake
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tangu mwaka 2006 Watanzania na viongozi wetu tumekuwa tunajidai kuwa tunao uwanja wa michezo wa kisasa kabisa huku tukisahau kuwa tunahitajika kujenga viwanja vingine zaidi katika miji kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba jina kwa wanaomfahamu, tafadhali!
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Nimeona hii kwa blog ya jamii na wabongo wengi wakawa wanamponda dogo eti yeye hana nidhamu kwavile anaamukia wakubwa na mkono mmoja mfukoni. Nyie waungwana mwaonaje hili dogo kafanya kosa au...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
au wadau mnasemaje? mimi mwenzenu hesabu hana kichwani
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Shangingi liliorudishwa hili hapa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Jamani Duniani kuna vibweka na vimbwanga!
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Kwenu wana jamvi watukuka, naomba wale wenye picha za mama Obama huko ziarani mziweke hapa jamvini, kwani hata mimi ni mmojawapo wa wapenzi wake.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…